Hivi mpinzani wa Rais Samia ni nani?

PM achukue Maamuzi magumu aje CDM Hana Cha kupoteza, atachukua nchi mapemaa.....Hana kashifa ya wiziii ukiacha Uongo ambao unavumilika.
Aende ACT au CUF, cdm hakuna nafasi ya hao matapeli toka ccm. Kosa la Lowassa halitakaa lirudiwe
 
Hivi ili uombe kugombea urais wa JMT unatakiwa uwe na elimu ya level gani,maana naona kuna mgombea mmoja anayepigiwa debe lakini kielimu hana sifa.Mpaka sasa yuko pale kwa mujibu wa katiba mbovu tuliyo nayo.
 
Pesa za kampeni ya mama" zinatoka arabuni
...na ndizo zinazoringishiwa. Walalkin madhara yake rasilimali zimegawiwa.

Huu ndio utakuwa Uchaguzi ambao wenye 'Interest' zao nchini wataugharamia kwa kwa nguvu zote. Ila nguvu ya pesa peke yake haitoshi.


chagua kwa uangalifu, chagua kwa umakini 2025

No to CHADEMA
 
Back
Top Bottom