Hivi Mohamed Hussein anaweza Kiingereza kweli?

Hivi Mohamed Hussein anaweza Kiingereza kweli?

Yaani kapten ubishane na kumshawishi refa kwa ishara? Umezoea kuangalia azam. Anza kuangalia EPL au Lalila utaelewa
Captain kazi yake sio kumuongoza refarii Bali kuongoza wachezaji wenzake uwanjani refa anaongozwa na Sheria za Fifa wewe wa wapi?

Na ndio maana wazungu wamekuja na VAR hata refa akiweka kati VAR ikiona Kuna sheria imevunjwa ktka mchakato wa goli refa ataitwa bila hata wachezaji kuingilia kati kumbuka goli la pili la wale Stellaboch Simba walikuwa washakubali yaishe na mpira ulishawekwa kati wakashangaa refarii haanzishi mpira kumbe watu wa VAR walikuwa washamshtua kitambo, na hata kama captain alitakiwa kuongea na refa si unakunja tu mikono hivi kumuonyesha refa aende kwenye VAR japo na yenyewe anaweza kukataa pia.
 
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Kufahamu lugha/kiingereza hakuna uhusiano wowote na elimu ya darasani
 
Kingereza hakichezi mpira, maana wangeenda walimu wakingereza wakacheze hiyo mechi. Labda manyeto atakua anakijua vizuri.
 
Back
Top Bottom