Hivi Mohamed Hussein anaweza Kiingereza kweli?

KUNA WATU UKIONA THREAD ZAO UNAJUA NI TAKATAKA TU.

Elimu haiusiani kabisa na Lugha.
Lugha ni kujifunza sio Elimu wala shule.

Acha ufamba.
Mpira una Lugha yake world wide,
Lugha ya Mpira ni Moja tu Dunia nzima.
Ipi hiyo🤔
 
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Acha kuharibu kazi za watu
 
Wewe unajua kingereza ? Tukutane ana kwa ana tuongee ukiweza nakupa 100k hapa mtandaoni unaweza kuomba msaada Chatgpt
 
acha ujinga khusanov hachezi kapelekwa shule kujifunga ngelii
Hawa madogo hawajielewi. Wanabisha mambo sababu hata wao wana tatizo la lugha. Yaani kapten hujui kuwasiliana na refa na dunia ya sasa ya VAR utamshawishi vipi au utapokeaje maelekezo kwa mwalimu au utawasiliana vipi na wenzio?
 
Unaacha kufikiri kwa kutumia akili unaanza kufikiri kwa kutumia mk..undu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wewe unajua kingereza ? Tukutane ana kwa ana tuongee ukiweza nakupa 100k hapa mtandaoni unaweza kuomba msaada Chatgpt
Just another nincompoop who thinks 100k it is something.
 
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Wewe bado unaishi pre colonial era...kama unaona kujua kiingereza ni ufahari na kwamba itakufanya kuwa binadamu wa daraja la kwanza basi nakushauri uwe kijakazi kwenye familia ya wa Irish ama wascotish ili wakuoe na kuongeza uzao wa kizazi kinachozungumza kiingereza!
 
Dogo umeolewa huko? Maana hata hoja hujaielewa unawaza kuolewa. Huu si uzi wa kutafuta waume. Acha wanaume tunajadili mambo ya msingi kwanza.
 
KUNA WATU UKIONA THREAD ZAO UNAJUA NI TAKATAKA TU.

Elimu haiusiani kabisa na Lugha.
Lugha ni kujifunza sio Elimu wala shule.

Acha ufamba.
Mpira una Lugha yake world wide,
Lugha ya Mpira ni Moja tu Dunia nzima.
Lugha ipi?
 
Dogo umeolewa huko? Maana hata hoja hujaielewa unawaza kuolewa. Huu si uzi wa kutafuta waume. Acha wanaume tunajadili mambo ya msingi kwanza.
Wewe hata uvulana hujafika... kupanda school bus kusikutoe ufahamu kudhani upo daraja la juu! Siku moja utakza kiumri na kupata watoto watakaokuita baba ila kichwani uu kopo la kuchambia!
 
Back
Top Bottom