Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
thread ambazo siyo hata za undergraduate !!KUNA WATU UKIONA THREAD ZAO UNAJUA NI TAKATAKA TU.
Elimu haiusiani kabisa na Lugha.
Lugha ni kujifunza sio Elimu wala shule.
Acha ufamba.
Mpira una Lugha yake world wide,
Lugha ya Mpira ni Moja tu Dunia nzima.
Sio requirement ya kuwa captain.Au hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Sio requirement ya kuwa captain.
Yanga hawapo kabisa kwenye mashindano yoyote ya Africa tangu mwaka jana na wakati Mwamnyeto kwa jinsi unavyotuaminisha anajua Kiingereza, Kifaransa na Kireno
Dah😂😂Mpira ni mchezo wa ishara kama unataka lugha nenda kwenye intaviuu za utumishi.
Sasa kama nahodha wako hajui Kiingereza, Kifaransa na Kireno, inakuwaje unalazimisha ushauri kwa nahodha wa Simba? Au Yanga haina mpango wa kuvuka makundi?Nani anakuaminisha mwamnyeto anajua hizo lugha? Nyie huwq hampendi elimu.
Nahodha wangu ni nani?Sasa kama nahodha wako hajui Kiingereza, Kifaransa na Kireno, inakuwaje unalazimisha ushauri kwa nahodha wa Simba? Au Yanga haina mpango wa kuvuka makundi?
Lugha ya kiingereza! Kwamba wanaoishia form four hawajuagi kingereza! Hilo nalo limenishangaza, kingereza mbona kuna sehem kibao za kufundisha kingereza tu.Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Lugha ya kiingereza! Kwamba wanaoishia form four hawajuagi kingereza! Hilo nalo limenishangaza, kingereza mbona kuna sehem kibao za kufundisha kingereza tu.
Yaani kapten ubishane na kumshawishi refa kwa ishara? Umezoea kuangalia azam. Anza kuangalia EPL au Lalila utaelewaMpira ni mchezo wa ishara kama unataka lugha nenda kwenye intaviuu za utumishi.
Mkuu Umemaliza kila kitu, huu uzi ufungwe sasa.Mpira ni mchezo wa ishara kama unataka lugha nenda kwenye intaviuu za utumishi.
Kwani kiingereza ndicho kinacheza mpira!Elimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?
Messi hajui KIINGEREZA ila ni captain kote aendako... Captain sio kuongea Tu ni Action na Kuongoza wenzakoElimu yake navyosikia ni Madrasa na pia kidato cha 4. Je anaweza bishana kwa lugha ya Kiingereza, Kifaransa au Kiarabu? Au Mikia hamjui umuhimu wa kaptein kuwa mjuzi wa lugha husika ?