andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,402
- 121,747
Ungeifuta tu, mwenye nayo ni mtumishi wa...Sio namba yangu [emoji23][emoji23]
Ungeifuta tu, mwenye nayo ni mtumishi wa...Sio namba yangu [emoji23][emoji23]
Ila nakumbuka hii kitu niliiona mabatini mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mim bora nile dagaa
Hiyo mikuku ya kisasa wanajidunga tu sumu mwilini taratibu.sio wanaume wa dar tu,hiyo ndio mboga kuu kwa familia nyingi hapo dar
Sijui kufuta,nimefuta haitoki kwani mnataka kuifanyia niniUngeifuta tu, mwenye nayo ni mtumishi wa...
huoni dar ilivyo na mashoga na matahira kwa wingi,Hiyo mikuku ya kisasa wanajidunga tu sumu mwilini taratibu.
Sasa kama mtoto anakula miaka 10 huko mbeleni mazezeta yatakua mengi