Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
vinaongeza nguvu za kiume?Wanaume wa dar ndo mboga yao kubwaa
Na kweli...hapo picha ya mwisho naona kiganja kina tatooWanaume wa dar ndo mboga yao kubwaa
Sio namba yangu [emoji23][emoji23]Mama Sabrina hiyo hapo juu ni namba yako?Kuna project nataka kukushirikisha.
Mim sili kabisaWanaume wa dar ndo mboga yao kubwaa
Umeona macho?Hahaha aisee
sio wanaume wa dar tu,hiyo ndio mboga kuu kwa familia nyingi hapo darWanaume wa dar ndo mboga yao kubwaa
Umeona eeeh mboga wanarost na ugaliNa kweli...hapo picha ya mwisho naona kiganja kina tatoo
Nadhani kaandika jina na baby wake.
Maana ndo michezo yao "wanaume wa dar"
Mm nikiwa dar nakula fungu kama hilo 200Mim sili kabisa
Kabisaaa rost na ugalisio wanaume wa dar tu,hiyo ndio mboga kuu kwa familia nyingi hapo dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama Sabrina hiyo hapo juu ni namba yako?Kuna project nataka kukushirikisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mim bora nile dagaaMm nikiwa dar nakula fungu kama hilo 200
una macho mazuri mi nilijua tareheMama Sabrina hiyo hapo juu ni namba yako?Kuna project nataka kukushirikisha.
Sio ni ya mwanaumeHuyo mwenye namba kama ni mdada leo atakoma.