Hivi mnaoshinda JF huwa mnakuwa mnafanya nini?

tuko inbobo ya JF tunaangaikia mbususu sio mchezo samaki wapatikana mbali kinani
 
Tunakua tunashinda JF.
 
NItapotea na mtanimiss kweli kweli. Subiri
Sema utakuja na ID nyengine ambayo utatushia maisha,utatuonyesha jeuri,kiburi,ufedhuli haitatosha utatufanya tuijue shubiri ni nini!!,utatushikisha adabu!,zile hasira zako utazimalizia kwenye hiyo id na kubwa kuliko utatuchanganya kwenye jinsia tusijue tukutongoze au ututongoze!! Na Kabali ya mwisho kabisa utawasababishia member wengi kula ban mbaniko!....๐Ÿ˜…
 
Hapana bana sipo hivyo.
Mkongwe mie staki ID mpya. Halafu ntanigundua tu maana siwezi kufake..

Nilishawahi kuachana na ID yangu ya 2013 najuta hadi leo . So nikipotea ujue nimepotea kikwelikweli.
 
Hapana bana sipo hivyo.
Mkongwe mie staki ID mpya. Halafu ntanigundua tu maana siwezi kufake..

Nilishawahi kuachana na ID yangu ya 2013 najuta hadi leo . So nikipotea ujue nimepotea kikwelikweli.
Sawa najua utapotea ukiwa kama mshangazi halafu utarudi ukiwa Binti kigoli wa miaka 19 mwenye chuchu kama mlima Kilimanjaro... Dunia inamengi na walimwengu ndo wenye hayo mengi..๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ