Hivi mnaoendaga kwenye show za miziki ya kibongo mnafaidi nini hasa ?

Tufurahi tufurahi na wana sikinde tucheze Leo ngoma ya ukae!! Ukitaka kufurahi kila jumamosi njoo uburudike name wanna sikinde oyee!!
 
Wanafuata sura tu za wasanii ,

Kula likes kama 3,000
Alafu huu naonaga utoto mkuu yaani eti msanii hamna lolote la maana zaidi ya kukwambia sema oooh nawewe unaitikia ooooh sema eeeya na wewe eeeya
Hapo anashika sehemu za siri na mkono mwingine maiki na kuanza kurukaruka tu
 
Hahahahahaaaa! baadhi ya mashabiki wa music ni vimeo sana! mtu anatoa hela akaburudike unamkuta kwanza anasimama mwanzo mwisho afu anasahau kabisa kama ametoa hela ili aimbiwe, as a result unamkuta anaimba mwenyewe!!! teh teh teh!
 
Yani msanii badala ya kuimba anapiga mayowe tuu huku akiwaelekezea mashabiki maiki. Kiufupi miziki ya kibongo bora kusikiliza redion lakin sio kwenda kutazama kwenye show!!

Sasa ninyi mnaoendaga huko mnainjoi nini hasa?

The only artist ambae naependa kuhudhuria show zake ni kidumu only!!
 
Wengine wanaenda kwa kufuata mkumbo tu ili nae aonekane ni mjanja anaenda na wakati.
 
Vitu vikiwa si vya umri wako na haunanavyo interest lazima uvishangae.
Ni sawa ukikuta watoto wanavopagawa na Ben ten.
 
Yani msanii badala ya kuimba anapiga mayowe tuu huku akiwaelekezea mashabiki maiki. Kiufupi miziki ya kibongo bora kusikiliza redion lakin sio kwenda kutazama kwenye show!!

Sasa ninyi mnaoendaga huko mnainjoi nini hasa?

Kipo wanachofurahia ndio maana wanaenda tena na tena.
Hata wewe inawezekana burudani yako kwa wengine haieleweki.
 
Yani msanii badala ya kuimba anapiga mayowe tuu huku akiwaelekezea mashabiki maiki. Kiufupi miziki ya kibongo bora kusikiliza redion lakin sio kwenda kutazama kwenye show!!

Sasa ninyi mnaoendaga huko mnainjoi nini hasa?

Ukijibu hili swali na mimi ntakujibu swali lako....hivi na nyie mnao enda bar kunywa pombe mna injoi nini hasa? maana baada ya kunywa utalewa utaanza kutukana,kukojoa hovyo,unaweza kugombana na watu,unaweza kupoteza simu hela n.k,unaweza kuumia usoni,asubuhi uki amka mwili wote unaumwa
 
Piga keleleeeeee namleta kwenuuuuuuuuu Ally Kibaaaaaaaaaaaaaa on the stage
 
When i say Fid say Q! Fidddd..........Qqqqqq....Arusha inda house! Say what say what! Mikono juuu! Tuimbe pamoja! Siwasikii! Itikia itikia! Chid chid chid chid beeeenz!
 
....sijawahi kwenda kwenye hizo taka ngumu na kamwe sitakwenda....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom