Hivi mmiliki wa TSN supermarkets ni nani?

Hivi mmiliki wa TSN supermarkets ni nani?

Ni mwarabu kachanganya na watu wa tanga anaitwa farouk anatokea muheza tanga na ana mdogo wake anaitwa bahoza ni mtu wa mashindano ya magari anatumia sana rangerover kwenyw rally ni watu wa muheza tanga
 
Huyu jamaa namfaham kwa jina la ALI ni mfanyabiashara wa supermarket na mafuta yeye ndiye anayesambaza mafuta kwenye minara za simu karib tanzania nzima kuna magari ya kusambaza mafuta huwa yameandikwa NEWL hii ni kampuni ambayo huyo mmiliki wa TSN wanawapa mafuta ili wasambaze kwenye minara za simu kwa taarifa nilizopata mwaka huu aliingiza lita milioni 6 za mafuta nimemfahamu kutokana na kufanya kazi petrol station ambayo yeye alikuwa anatunzia mafuta yake bukoba mjini jamaa anapesa sana ila niliwaipata udaku kuwa anashare na IGP MSTAAFU SAID MWEMA pamoja na SALMA KIKWETE
 
Nimeamini si kila ukisikiacho kuhusu Ridhwan kinaweza kuwa kweli, naona watu wanamhusisha Ridhwan na TSN lakini ukweli ni kwamba mfano TSN oil inamilikiwa na Farough pamoja na mtu mmoja maarufu sana ambaye sio mtanzania sitomtaja jina.
TSN supermarkets ilikuwa inamilikuwa na watu mbalimbali ila Farough ndiye alikuwa na share nyingi sana, ila Farough aliamua nunua shares zao aimilik peke yake baada ya kuona mambo hayaendi vizuri.
TSN logistics same kama TSN supermarkets
 
Back
Top Bottom