Hivi Mkapa anamkubali JK?

Hivi Mkapa anamkubali JK?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,197
Reaction score
162,728
Habari wakuu,

Hivi kwa kutazama mwenendo wa Mkapa towards JK,unapata picha gani?Je Mkapa anaonekana kumkubali JK?Je si kweli kuwa Mkapa anajaribu kujiweka kando na siasa za JK?

Tafakari utapata jibu.
 
Habari wakuu,

Hivi kwa kutazama mwenendo wa Mkapa towards JK,unapata picha gani?Je Mkapa anaonekana kumkubali JK?Je si kweli kuwa Mkapa anajaribu kujiweka kando na siasa za JK?

Tafakari utapata jibu.

unaikumbuka kesi ya serikali dhidi ya mahalu ?
 
una majb then unauliza we vp? kitalaam tunaita "Rhetorical question"
 
Mkapa hajawahi kumpenda JK kwa vyovyote vile...Na hata lile Sakata la gesi Mtwara o, limezidi kuwaweka mbalimbali hawa mabwana...Kwa ufupi Mkapa hakutaka JK awe successor wake in anyway, bt kwakuwa ishatokea hivyo, Mkapa ameamua akae kivyake.
 
Haya sasa ! Kumbe gesi nayo imehusika ?
 
Mkapa hakuwahi kwenda uwanja wa taifa kama mgeni rasimi alikuwa anadili zaidi na uchumi wa taifa hili so ni watu wawili tofauti hawa hata kifira
 
'Nina Imani sana na Mh. Kikwete na tumeshafanya nae kazi kwa muda mrefu tukianzia kule Masasi akiwa Kiongozi wangu wa Chama mimi nikiwa Mbunge'- BWM 30/10/2010. Inaniwia vigumu kuacha kuamini maneno haya na kuanza kuamini vijimaneno vya kwenye Vijiwe vya Bhangi.
 
Hongera dada umebarikiwa kuliko wanawake wote kwa kumjua rais kabla. Lakini ungekuwa unayajua maisha anayoishi mtanzania wa kiwango cha chini usingelisema hayo unayo yasema. Mtanzania alie navyo huwa anamuona asie na pesa kama kichaa, kumbe hata alie nazo amemuibia huyo anaeonwa kichaa na huyo anaeonwa kichaa nifukara kwa kuwa aliishi kwa imani na serikali na uadilifu kwa Mola. Chambua hiyo falsafa dada yangu.
 
Walimhukumu dk.salmin a.salim kipenzi cha nyerere ,kwa mauaji ili wajibebee nchi ona sasa mambo ya navyomwendea kombo huyu dhaifu wa magogoni!
 
Mkapa Mwizi Fisadi aliyetuingiza kwenye mikataba ya kijinga kabisa! Dhahabu zote zinatoweka, Tanzanite sinasombwa, Uranium zinachimbwa hadi kwenye hifadhi ya Taifa, Vitalu vya Gesi walisha gawana, Rader Mbovu walitubambika kwa pesa za walipa kodi, TANESCO aliihujumu ile mbaya, Alijinyakulia KIWIRA, MKAPA aliuza kila kitu cha nchi hii including majengo ya NBC, NMB nk.... JK hapaswi kuwa karibu na JAMBAZI Mkapa hata siku moja...
 
Ana tatizo gani ilihali ndiye aliyemuachia madaraka akiwa ameacha watu wengine wenye akili?
 
​Mkapa na JK??? hawalingani kabisa ...MKAPA= MWIZI ,JAMBAZI.....JK hayuko huko!!
 
'Nina Imani sana na Mh. Kikwete na tumeshafanya nae kazi kwa muda mrefu tukianzia kule Masasi akiwa Kiongozi wangu wa Chama mimi nikiwa Mbunge'- BWM 30/10/2010. Inaniwia vigumu kuacha kuamini maneno haya na kuanza kuamini vijimaneno vya kwenye Vijiwe vya Bhangi.

Eeee kweli unamwamini na umefanyanae kazi nzuri sana kwani hata yeye na mabinti damu damu sasa siwezi shangaa kusikia unamkubali jamaaa anaekosa maamuzi magumu zaidi ya kucheka cheka, jk ni sawa na joka la kibisa na kwakuwa ulikuwa unampa papuchi basi huwezi kuacha kumuamini cause aliitendea haki ila sio kwa hili taifa.
 
Back
Top Bottom