Hivi Mkapa anamkubali JK?

Hivi Mkapa anamkubali JK?

asante sana wewe sijui dada au mamdogo, tufafanulie wazi je unataka ukuu wa wilaya maana JK ni maarufu sana kwa totoz, je na wewe ni moja wa hao totoz hadi umtetee hapa hadharani. Je alivyo vurunda kwenye kuzindua bunge la katiba hukumwona?

Wivu utawapa mimbaa!!!!
 
Mkapa hakuwa na time ya kupiga picha na 50cent sijui boyz2 men,wala hakuwa na swaga za kwenda kwenye birth day ya clouds sijui mauchafu gani ye alikua bize na kukusanya kodi na kuhakikisha bei ya sembe haipandi ili watanzania waende chooni...
Teh teh wala kwenda kubembea Jamaica wakati st.mary kuna bembea,wala kwenda kupanda farasi Canada wakati Chang'ombe police kuna farasi...
 
Je yeye alikuta kiasi gani? Alikuta nch ikiwa kwenye hali gani? Acha kujisif km una mbio, but msifu na anaekufukuza? Huna hoja nenda kajipange tena.

alikuta pesa ambayo ingeiwezesha tanzania kutumia kwa muda wa siku 28 tu na JK alikiri kuwa Nkapa kamuachia pesa ya kutosha hali ingekua mbaya kama angeingia kipindi ambacho mkapa aliingia fuatilia hotuba alioitoa bungeni wakati anazindua bunge 2005.

Mkuu tusibishane mimi sina muda huo silipwi hapa nasimamia ninachikiamini ninajua nachokisema simchukii Kikwete .
 
si ni mchezo wa kucheza na karata! Wingereza wanasema who get what ,when and how! Mkapa ndiye aliyetoa hotuba ya kumkandamiza Dk Salim na kumbeba JK ....kwa manufaa yake naikiri si kwa mwanufaa ya nchi!


thus way alimpa Jk uwaziri wa mambo ya nje miaka yote kumi yoote ilikua kumtengenezea jina hasa kwa wadhungu.
 
Je yeye alikuta kiasi gani? Alikuta nch ikiwa kwenye hali gani? Acha kujisif km una mbio, but msifu na anaekufukuza? Huna hoja nenda kajipange tena.

By KYALOSANGI:
si ni mchezo wa kucheza na karata!
Wingereza wanasema who get
what ,when and how! Mkapa ndiye
aliyetoa hotuba ya kumkandamiza
Dk Salim na kumbeba JK ....kwa
manufaa yake naikiri si kwa
mwanufaa ya nchi!

Nyanya mbichi said...........

thus way alimpa Jk uwaziri wa
mambo ya nje miaka yote kumi yoote
ilikua kumtengenezea jina hasa kwa
wadhungu.
 
Hivi mwizi na jambazi ni yupi? Huyu JK aliyekomba hazina yote iliyoachwa na Ben au Ben? Kama hoja ni ya ujambazi na wizi wote wawili hawakwepi. Issue ya Richmond inakwenda na kuishia kwa JK. Biashata za Riz1 utata mtupu. Twiga na tembo wanauwawa na kusafirishwa na rafiki za JK mchana kweupe. Kila mkataba unaosainiwa sasa ni mambo ya dili na fungu lazima lifike kwa mkulu. Utasemaje hapo? Unahitaji uwe na kichwa cha nazi kumtetea JK kuhusu ufisadi
Unapiga porojo mwanzo mwisho wakati sisi tunakupa facts! Mkapa aliuza NBC pamoja na majengo kwa wamarekani kupitia ABSA...hata baba wa Taifa alilazimika kwenda kwa Clinton! Fuatilia sakata la kujiuzulu kwa Prof Stieglitz mshauri wa uchumi wa Clinton Enzi zile!!! Mkapa alijimilikisha Kiwira tena akiwa Ikulu!!! Mkapa alijigawia Vitalu vya Gesi na sasa amejitengenezea matrillion baada ya kumalizia kuuza hisa zake!!! Mkapa alituletea Netgroup Solution kukutengenezea juicy ya ukwaju? Mbinu chafu ya kuidhoofisha TANESCO ilianzia kwa Mkapa rejea Pan African Energy, IPTL, Songas et al... Mkapa ameuza ardhi yetu maelfu ya heckta! Mkapa amegawa dhahabu zetu huku mwenyewe akichekelea kupigwa picha na pande la dhahabu!! Hata Tanzanite inayopatikana Tanzania pekee bado aliwamilikisha makaburu! ... EPA inamhusu Mkapa 100%... Ballali alipewa kazi ya kufilisi hazina ya nchi!... Mkapa hakuacha chochote kwa taarifa yako!!! Yeye kwakuwafanyia IMF na WB kazi nzuri ya kupora rasilimali zetu walihakikisha kuwa mfumuko wa bei wanaupunguza thru takwimu feki za kupika....Kosa la JK ni moja tu!!! kukubali kubeba MAUCHAFU ya mkapa...Nyumba za Serikali waliuzina , Magufuli alipewa kazi ya kuchuma fedha kwenye miradi ya ujenzi wa barabara ambazo hazina viwango... MKAPA alikuwa JAMBAZI MWIZI na KIBAKA aliebobea.... Kamwe asifananishwe na JK mwenye mapenzi na dhamira safi kwa wananchi wake ....
 
Back
Top Bottom