Uchaguzi 2020 Hivi Membe anafanyia kampeni zake wapi?

Membe alifikiri huko field nako kuko kama jf na twitter!

Yule jamaa siamini kama kukaaa kote na JK kumbe kichwani kuko empty tu. Yani akipumbazika na sifa za mitandaoni.
Wenye akili waligundua mapema kuwa hapo hakuna kitu ni nguvu ya CCM tu ilikuwa inambeba....najiandaa kumuona Kisutu!
 
Wakuu.

Hivi huyu mgombea wa ACT wazalendo ndugu Benard Membe, kampeni zake anafanyia wapi, maana simsikii kabisa?
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo mpaka leo hii angekuwa anaamini kwa 100% kuwa Bernard Membe ni Mpinzani hasa na siyo mwana CCM 100%.
 
Subirini kuangukia pua tu. sasa ni zamu ya kupiga mluzi tu maana wapinzani wanachukua shuka wakati kumekucha. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Membe alifikiri huko field nako kuko kama jf na twitter!

Yule jamaa siamini kama kukaaa kote na JK kumbe kichwani kuko empty tu. Yani akipumbazika na sifa za mitandaoni.
Mambo ya "Twende na Membe" teh teh teh
 
Membe anafanya kampeni nyuma ya pazia, hasa kwa Ma-DED (District Executive Directors) alishasema siasa za majukwaani hata kuku wanajaa kwenye umati, kiufupi wewe andaa suti kwa ajili ya tafrija atakayoifanya jioni baada ya ushindi mnono
 
Tarehe 27 atafunga kampeni zake pale Mbagala ,Siku hyo ataongea sana ataelezea madudu yote ya bwana yule na mwisho wa hotuba atasema KURA ZOTE NI KWA LISUUU. Baada ya hapo Porisisiemu na nekisisiemu watamkamata kwa kwenda kinyume na tume ya uchaguzi .Kisha tarehe 28 watu wote wa ACT watampgia Lisu na wale Wa CHADEMA. watampa kura Lisu na wale waliopo sisisiemu lakin hawataki kujionesha kuwa bwana yule hawampendi nao watampa kura lisu ,Watumishi wote nao kura kwa lisu ,Wanafunzi wote wa elimu ya juu nao kura kwa lisu bila kuwasahau wale wenzangu na mimi ambao tunatamani tupate bima ya afya kwa gharama ya chini nao kura kwa lisu. ,Utabaki wew tu ambaye utakuja kuponda komenti yangu hapa chini,bt syo mbaya nawe unaweza kubadilika kisha ukampa kura yako Lisu tarehe 28.
 
Back
Top Bottom