Nauliza hivi kwa mshangao sana. Ni kuhusu suala la maji. Yapo maeneo maji wanapata kila siku. Kuanzia Bima kwenda hadi relini kule maji ni kila wakati. Mshangao kwao ni maji yakikatika.
Maeneo ya Segerea kuelekea Kisukuru na Bonyokwa huko kuna changamoto sana ya maji. Huku yakitoka inabidi tushangae. Kwa nini? Au mifumo ya kuleta maji katika maeneo hayo tajwa ni miwili tofauti?
Kwa nini basi pasifanywe mgao kati ya maeneo haya? Huku tunanunua maji ya magari. Ni ghali kweli wakati mabomba tumefungiwa na dawasa. Msimu huu wa mvua tunaponea ya mvua. Mbunge na madiwani mnafanya kazi gani?
Au hayo magari ya kusomba maji ni miradi yenu? Tunahitaji na tunataka maji ya uhakika kama maeneo mengine
Hamna anayempa kura bali CCM ndio wanampa kura😅Tulieni ivo ivo..na hilo tatizo inaonekana sio la leo wala jana lkn mbunge ana awamu zaid ya moja huko bungen!! mpen tu kura!!
Bona Kamoli 🤣Si walisema wapinzani wanawachelewesha , wapo wenyewe kila kitu hovyo.
Piga chini huyo Mbunge .
Wakati wa JPM barabara ya kutoka Chang'ombe kupitia kwa Swai hadi maji chumvi ilikuwa ijengwe kwa kiwango cha lami tena barabara pana lakini baadhi yenu wakazi wa huko mkaweka pingamizi mahakamani barabara isijengwe kwa kuwa baadhi ya nyumba zingebomolewa, Serikali ikaamua kuhamishia fungu la huo mradi kwenda kujenga barabara ya kutoka Gongolamboto kupitia Bongolandege hadi Kinyerezi darajani.Huyo mbunge inaonekana Kisukuru na Kimanga hapamuhusu hivi!
Kila siku makamu wa Raisi anakuja kitaani barabara ni mbaya kichizi ila mbunge yupo! Barabara kuanzia Bima mpaka Kimanga ni mbaya na chafu hasa kipande cha bima mpaka Mawenzi.
Kuna barabara ya Maji Chumvi kuja kwa Swayi mpaka kuunga Kimanga ni mbaya mno japo ni njia kubwa sana inatumiwa na watu kama shortcut ya Segerea na Kinyerezi
Ni kweli pingamizi liliwekwa na dingi yangu mdogo ndio alisimamia hilo ila hakukuwa na sababu ya kuvunja nyumba kwa maana ni barabara ya mtaani hii! Ina maana wangevunja wangepaswa kutulipa fidia ule ujinga wa kuvunja nyumba ya million 100 kisha uwalipe watu 25m waende kimbiji ndio hatukuutaka.Wakati wa JPM barabara ya kutoka Chang'ombe kupitia kwa Swai hadi maji chumvi ilikuwa ijengwe kwa kiwango cha lami tena barabara pana akini baadhi yenu wakazi wa huko mkaweka pingamizi mahakamani barabara isijengwe kwa kuwa baadhi ya nyumba zingebomolewa, Serikali ikaamua kuhamishia fungu la huo mradi kwenda kujenga barabara ya kutoka Gongolamboto kupitia Bongolandege hadi Kinyerezi darajani.
Bashe alikuwa anakula mzigo hadi mume akaenda Dom akawafumania. Jamaa alimaindi ndugu na Familia wakajaribu kusuluhisha wapii. Ndoa ikavunjika.Mpaka kabadilisha jina kutoka lile la mumewe, hujajua tu kazi yake
Alipopata ubunge tu akaachana na mumewe, naona ana kezi mpya tofauti na ubungeMpaka kabadilisha jina kutoka lile la mumewe, hujajua tu kazi yake
Hii barabara ya shortcut kumbe unaipata? Nasikia ni mradi wa watu. Wanachonga na kumwaga vifusi na siku mbili ubovu unarudi. Ni njia kubwa sana ila hakuna mikakati yoyote. Wenzao ubungo sijui wamewezaje miundombinu.Huyo mbunge inaonekana Kisukuru na Kimanga hapamuhusu hivi!
Kila siku makamu wa Raisi anakuja kitaani barabara ni mbaya kichizi ila mbunge yupo! Barabara kuanzia Bima mpaka Kimanga ni mbaya na chafu hasa kipande cha bima mpaka Mawenzi.
Kuna barabara ya Maji Chumvi kuja kwa Swayi mpaka kuunga Kimanga ni mbaya mno japo ni njia kubwa sana inatumiwa na watu kama shortcut ya Segerea na Kinyerezi
Inapita street kabisa yani😅 naijua kama sala ya baba yetuHii barabara ya shortcut kumbe unaipata? Nasikia ni mradi wa watu. Wanachonga na kumwaga vifusi na siku mbili ubovu unarudi. Ni njia kubwa sana ila hakuna mikakati yoyote. Wenzao ubungo sijui wamewezaje miundombinu.
Kwa katiba yetu iliyopo mleta mada unajua kazi ya mbunge?Nauliza hivi kwa mshangao sana. Ni kuhusu suala la maji. Yapo maeneo maji wanapata kila siku. Kuanzia Bima kwenda hadi relini kule maji ni kila wakati. Mshangao kwao ni maji yakikatika.
Maeneo ya Segerea kuelekea Kisukuru na Bonyokwa huko kuna changamoto sana ya maji. Huku yakitoka inabidi tushangae. Kwa nini? Au mifumo ya kuleta maji katika maeneo hayo tajwa ni miwili tofauti?
Inafika hatua maji yakitoka watu wanashangaaKuna eneo fulani huku Kinyerezi njia ya kuelekea Saranga Dawasco wamesambaza mabomba ila maji kutoka ni mtihani, juzi kati yakatoka kama siku mbili mfululizo ukawa kama mjadala mtaani, kuna mzee akasema au yana sumu, maana kutoka siku mbili ni miujiza.