Huh.....wanachadema wenzangu nafikiri kwa pamoja tuitazame CHADEMA kama taasisi ya watu...tuifanye CHADEMA kama itikadi iliyoko mioyoni mwetu.....CHADEMA ipo si kwa sababu ya MBOWE,SLAA,ZITTO au mwingine yeyote yule bari ni sababu ya dhamira ya watanzania wapenda nchi yao na wanaotafakari uwepo wa nchi yao kwa miaka mingi ijayo.....Tazama leo BOB MAKANI hatunae,,,Wangwe,,,Regia hatunao lakini CHADEMA ipo....hivyo basi atoke yeyote yule let CDM be there....tukibadilisha mitazamo yetu hivi haitatokea tukapata watu watakaojiona ni wamiliki wa CDM.....to me nitaumia sana kwani mchango wake ni mkubwa sana mpaka sasa lakini nitaendelea kuipigania chama changu mpaka tone la mwisho.....Bt He will regret if and only if alikuwa na dhamira ya dhati kwa uma wa watanzania.....RIP BOB MAKANI