Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 408
- 1,313
Maji hayana ladha,ukipata ladha kwenye maji hayo maji yana impuritiesWapo vizuri. Kwa ubora hill water watawafuatia, hill water warekebishe tu tatizo la vizibo vya chupa kwasababu ni vigumu kufungua! Kweli maji ya hill yana ladha safi.
Hhhhh🤣🤣🤣🤣👌Mkuu hivi hujawahi kupiga maji ya uhai au afya mara ile lebo ianguke yenyewe sijui gundi wanaweka ndogo, sasa maji gani unakunywa unashangaa lebo inaondoka na upepo wa feni
Hivi si kuna kichaa aliwaamuru hizi taasisi za umma watumie maji ya Uhuru?Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF , pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau , Hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro .
Haya maji ya Uhai , Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Maji ya kwanza yalikuwa ni maji ya Africa kutoka Kidamali Iringamaji ya kilimanjaro ndo yaliyoanza ya kwanza TZ, hivyo hata ufanyaje, hata iweje, mkubwa ni mkubwa tuuu.
Branding.Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF , pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau , Hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro .
Haya maji ya Uhai , Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Afya wamezingua sana.. halafu maji yamekua kama mabaya.. bora hata mara ya kwanza1. Hill Water
2. Uhai
3.Afya
Hill Watengeze maji ya 1.5L kama wenzao ,Afya wamebadili Chupa imekuwa kama Dasani.