Hivi mbinu ya kugoma kula ukiwekwa selo huwa inamsaidiaje mtuhumiwa?

Kwani wao waliachwa wafe Kuna shida gani? 😁😁

Kama ni kiongozi lets say Rais mstaafu anakuwa amewekwa ndani na Rais so ukimuacha afe inaweza leta mgogoro mkubwa kwa Rais kwa sababu mhusika anakuwa na watu serikali na nguvu fulani kwenye jamii.

Mfano ishu ya Kaunda, ilibidi Nyerere aende hadi Zambia akaomba kuingia kwenye selo ambayo Kaunda amewekwa, ili aongee vizuri na mzee mwenzie, muda wa kumaliza kumuona Kaunda ulipofika, Nyerere akagoma kutoka selo. Akasema sitoki humu ndani bila Kaunda.. Askari bembeleza, bembeleza na wewe. Mwisho wa siku akapigiwa simu Chiluba akaelezwa hali halisi hakuwa na jinsi zaidi ya kumtoa Mzee Kaunda. Ila Chiluba alilaumiwa sana na mwisho wake haukuwa mzuri pia.
 
Hilo neno bembeleza bembeleza na "wewe" Huwa linanikera
 
Njaa ya kwako,kesi ya kwako nk Sasa kugoma kula kunamsaidiaje Mtuhumiwa?

Ukiachwa ukafa kwani Kuna shida gani? Si unakuwa umegoma mwenyewe kula?

Case Study Kaunda wa Zambia.
Swali hili huwa linawatatiza sana watu ambao hawana ufahamu wala kujali Haki za Binadamu.

Mtu ambaye kuanzia.malezi hadi anakua amelelewa kuheshimu na kutambua UTU wa mtu huelewa dhima nzima ya kugoma kula kuanzia family level hadi kijamii
 
Nakuacha ufe
 
Kugoma kula ukiwa selo ni kama unapeleka ujumbe kwa wahusika jambo lako linalokiukwa ukiwa hapo selo litekelezwe. Kwa nchi zinazojitambua kufuata democracy na haki za binadamu watakusikiliza,ksbb ukifa kwa kugoma kula huku wakilikalia kimya watakuwa na makosa pia kwao na aibu kubwa kwa Taifa linalofuata kwa ukamulifu misingi ya haki za kibinadamu. Angalizo Usijaribu kabisa kugoma kula kwenye hiyo nchi iliyopo.
 
Itakuwa wazi uko Selo hutaki kula ndio sababu umekufa.

Na hii inatakiwa kuwa sehemu ya kosa kama wale ambao Huwa wanataka kujiua wanavyoshitakiwa.
 
Kugoma kula ukiwa selo ni kama unapeleka ujumbe kwa wahusika jambo lako linalokiukwa ukiwa hapo selo litekelezwe. Kwa nchi zinazojitambua kufuata democracy na haki za binadamu watakusikiliza,ksbb ukifa kwa kugoma kula huku wakilikalia kimya watakuwa na makosa pia kwao na aibu kubwa kwa Taifa linalofuata kwa ukamulifu misingi ya haki za kibinadamu. Angalizo Usijaribu kabisa kugoma kula kwenye hiyo nchi iliyopo.
Ila mi naamini hao wanaogoma kula huwa wanakulaga kwa siri sana, usicheze na njaa,na njaa haina baunsa!!
 
Back
Top Bottom