JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 276
Piga MBA-procurement and logistics,nadhani ipo mlimani na udom kama ckosei.over
Piga shule acha masihara
Ahsante ila nataka nipige open ili niendelee na kibarua changu c unaju private sector tena...sema hapo open kuna program inasomeka Master of business management transport and logistics management (MBA T & LM)..Nahisi inaweza fanana na hiyo.
jaman na mm nataka kwenda kupiga hii course hapa nimepata mwanga kidogo, siju kwa nchi zingine kama Korea, mana nataka kwenda kusoma huko sijui na soko lake kwa huko KoreaNshapeleka application form tayari
jaman na mm nataka kwenda kupiga hii course hapa nimepata mwanga kidogo, siju kwa nchi zingine kama Korea, mana nataka kwenda kusoma huko sijui na soko lake kwa huko Korea
mkuu si unajua ncchi yetu ilivyo kizungumkuti? hata business ukianzisha bado utafuatwa fuatwa mpaka wakufilisi kwa mambo ya kijinga, bora niloweee tu huko nisije ua mtu hapa bure nikanyee debeIna maana unataka kumaliza na ulowee huko huko Korea? Nami wadau nataka nisome Master ya Human Resource Management sijui wadau ina ubora gani ukilinganisha na MBA?
mkuu si unajua ncchi yetu ilivyo kizungumkuti? hata business ukianzisha bado utafuatwa fuatwa mpaka wakufilisi kwa mambo ya kijinga, bora niloweee tu huko nisije ua mtu hapa bure nikanyee debe
nimekupata mkuumba katika dunia ya leo muhimu sana hasa ukitilia maanani competition kubwa iliyokuwepo kati ya watafuta ajira. Kama unaweza kujipinda ili ulale nayo mbele basi usipoteze nafasi hiyo.
Mi nilidhani ulimaanisha Married But Available (MBA)