Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Kichekesho na kioja kwa std 7 kuulizia ma prof. na ma Dk wanapo publish paper zao.
halafu mjuaji mno!!! amejaa kejeli na dharau, jambo usilolijua bana
Kichekesho na kioja kwa std 7 kuulizia ma prof. na ma Dk wanapo publish paper zao.
Mwonyeshe Nicholas walipopublish awe kichekesho.kinyume na hapo wewe ndio utageuka kichekesho.Kichekesho na kioja kwa std 7 kuulizia ma prof. na ma Dk wanapo publish paper zao.
Lipi la ajanu kwa Std 7 kuuliza? hiyo inabadilisha mantiki ya swali?Kichekesho na kioja kwa std 7 kuulizia ma prof. na ma Dk wanapo publish paper zao.
Na kwa sa sa ni mwendo sa vyeti na kupata prefix tuu. Weledi baadae.Mkuu,
kwa mara ya kwanza nimeona swala legit kabisa. This is a very good question. It seems kama watanzania tungekuwa tunauliza maswali Kama haya tusingekuwa tunachezewa akili na Hawa Watu wanaojiita wasomi. Kiukweli majority ya PHD holders wetu hawajaandika popote. Wengi ni wasanii tupu. Hata hao associate professors unakuta publications Zao ni kidogo mno na wamepublish kwenye journals za hapa hapa TZ ambazo kiukweli hawawezi kukataliwa. Wengi wanapenda kuitwa Dr? So and so lakini hawajui Kama it requires more to earn that title. The negative side ni kwamba hata watoto wetu tunawafundisha short cuts za maisha. Mf. Sijawahi ona msomi wetu hapa bongo kapublishi kweny journal ya uhakika Kama Harvard Law Review, Yearbook za ukweli....I mean Mifano ni mingi...huko kwenye medics, engineering nk. The point is journals Kama hizi mpaka paper yako ipite Uwe published........unajua kweli....I have earned that accolade. In all wabongo wengi wetu bado sana....ndo maana hata uprofesa wetu ni ujanja ujanja kwa kufahamiana.
again swala lako ni zuri sana.
Nicholas, la kuhuzunisha zaidi hata number of citations kule Google Scholar kwa wasomi wetu ni chache kulinganisha na majirani. ...UG, KE, Zambia, Zimbabwe etc. Unajiitaje prof kutwa unazunguka kwenye TV na redio kutoa maoni kuhusu madiwani wa halmashauri ya USHETU sijui kudai posho Ziongezwe! Wakati mwingine hata BASHITE ana afadhali na gamba lake japo magumashi.Kuna TWAWEZA sijui, kuna jamaa mmoja sijui mnyarwanda yule, maposi yake na sauti yake tuu, wananhu hucheka na kuulizia jinsia yake.
Babu Sizonje kazivua nguo Ph.D za mwendokasi bongo kiasi hata vipofu wanaweza kuziona zilivyo tupu.Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?
Zitaje wewe unaezijua. Uzuri ukishazitaja hapa na title ya hizo papers tunazitafuta Google scholar tunaona kila kitu bila chengawewe unazijua journals ngapi za maana?Je umepitia huko ukakosa wataalamu wa Kitanzania?
Sir/Madam Medicci,Let's say the University of Dar es salaam, have different journals in different fields eg, engineering, sociology, law etc and most of the published articles in those journals are simply summarization, or extensions in whatsoever way of the writers PHd or masters research, they really dont offer new things to the academic world rather its summary of their findings and not actually discoveries. And they know that none of the things that they write will be criticised, I opt to take my PhD In USA or UK. But in Tanzania a keen undergraduate can critisize a published article of a PhD holder or candidate
Ndugu, pindi upatato PhD utaitwa Lecturer ukipublish ndo unakusanya points kisha unaomba kwa barua ukiambaranisha na machapisho yako ili wakufikirie kukupandisha. Labda ungesema wabongo wengi wakishaukwaa u-associate professor publications ndo bai-bai wakisubiria teuzi za ulaji kwa kusaini barua za ruhusa, likizo na kuhudhuria mikutano unayolipwa kwa kukaa na kuongea kidogo ( ikibidi) hukooo kunako. Mifano tunayo dhahiri.Ku publish inategemea na mtu, wengi ma professor baada ya kumaliza chuo kapata phd haandiki tena anabaki anakula tu hela ya kufundishia