Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

Tanzania ya Viwanda inapaswa kuanza na tafiti kisha ndo tujue tuweke mkazo kwenye maeneo gani ....malighafi tunapata wapi, wataalamu tunao? Tutauza wapi?;teknolojia je? Local content?
 
Mkuu,

kwa mara ya kwanza nimeona swala legit kabisa. This is a very good question. It seems kama watanzania tungekuwa tunauliza maswali Kama haya tusingekuwa tunachezewa akili na Hawa Watu wanaojiita wasomi. Kiukweli majority ya PHD holders wetu hawajaandika popote. Wengi ni wasanii tupu. Hata hao associate professors unakuta publications Zao ni kidogo mno na wamepublish kwenye journals za hapa hapa TZ ambazo kiukweli hawawezi kukataliwa. Wengi wanapenda kuitwa Dr? So and so lakini hawajui Kama it requires more to earn that title. The negative side ni kwamba hata watoto wetu tunawafundisha short cuts za maisha. Mf. Sijawahi ona msomi wetu hapa bongo kapublishi kweny journal ya uhakika Kama Harvard Law Review, Yearbook za ukweli....I mean Mifano ni mingi...huko kwenye medics, engineering nk. The point is journals Kama hizi mpaka paper yako ipite Uwe published........unajua kweli....I have earned that accolade. In all wabongo wengi wetu bado sana....ndo maana hata uprofesa wetu ni ujanja ujanja kwa kufahamiana.

again swala lako ni zuri sana.
Nafikiri Matatizo ya Tanzania academics siyo kwamba wanashindwa kupublish au hawajui - tatizo ni motisha hakuna. Kupublish kunataka ufanye research, ambayo ina tumia fedha na muda mwingi. Sasa wasomi wetu Tanzania hawapewi hela yakutosha kufanya hiyo research. Na pili hawana muda wa kutosha, utakuta wana wanafunzi wengi per head, na wanatumia muda mwingi kufundisha bila kuwa na nyenzo za kisasa za kuwasaidia. Nitatoa mfano wa Africa ya kusini _ kuna hela nyingi imetengwa kwa ajili ya Research na ni rahisi kuipata. Pili ukipublish paper moja unalipwa zaidi ya R 20000.00 = >Tsh.3,000,000 ambazo unazipata in cash na kiasi kama hicho kinakwenda kwenye Research account yako. Kwa hiyo kwa mwaka ukiweza kupublish paper 10 unapata zaidi ya milioni 30. (utazilipia Tax). Sasa motisha kama hiyo hamna hapa. Hizo silizo ingizwa kwenye account yako ya research zina kusaidia kusafiri na kuhudhuria conferences, kumkaribisha mtaalamu mwingine kutoka nje kuendeleza utafiti, kurecruti postgraduate students na mengineyo... hivyo ni tofauti zilizopo ukilinganisha na Tanzania. Nafikiri tunapoelekea hela ya utafiti itapatikana na publications zitaongezeka.
 
wewe unazijua journals ngapi za maana?Je umepitia huko ukakosa wataalamu wa Kitanzania?
Kuna haja gani sasa?Kuna wataalamu wa UDSM waliokuwa decorated km Kabudi, Mhongo, Mkandala, Mrehemu Haroub Othman, etc na sasa Kitila mkumbo.These guys are reall Jokes.Tukianzia ktk logic yao.Ni wazi hawawezi andika paper yenye complex idea. Wanachukua vipande vipande ya hot issues ,kisha wanakusanya.Au wanaitwa ktk research waliyoandaa wazungu km decoy kwa vile wanajua they are not trustworth. The real research ni top secret .Utawasikia wakilalamika eti wanafanya tafiti wao wazungu wanaenda kumodify kidogo wanakuja na ugunduzi. HAPO UTAONA SHIDA KUBWA SANA KWA KIBARUA ANATAKA KUCHUKUA NAFASI YA ENGINEER.
 
Sir/Madam Medicci,
Allow me to add some points as far as TZ academics' publication practices are concerned;
1. Most of TZ journals are still in hard copies so it's hard to trace or cite when writing/doing literature review on the topic which consequently negatively affect VISIBILITY of their respective universities when it comes to RANKING.
Man if we have ever had any smart paper out there, we would have been guaranteed its publications. Every western institution have made a big stride into digitizing every valuable paper out there. Mzee hadi sasa kuna kazi hadi onlince za ku type scanned docs ,video/audio into written docs , kuna software za ku tambua herufi etc.
2. Most of academics r pre-occupied with non-academic activities to supplement the peanut they are getting from the BIG MAN himself.
Man these guys are incapable of developing sustainable commercial research centers.With the level of education, and the privileges they get within our society.On would expect to see a number of entrepreneurs in various research areas.the fact is they cook data instead. Because socialist/communism is a big lie.
3. There's no mechanism whatsoever to pressure academics to publish after PhD (you can decide to remain inactive till ur retirement date) and no one will ask you anything with regard to publication or writing proposal for grant at ur university.
There is no bigger pressure than personal dedication and the the desire to explore your mental power.
4. TCU, mother of all universities r busy soliciting fund from her own children (universities) and general public through various unjustifiable fee & contributions eg. "Foreign Degree certification"
TCU itself is infected with the UDSM viarus, the sum of all stupidities in the evil socialism


5. As a country, we did a grave mistake to introduce austerity measure to education sector (higher education). I can assure you. Not more than 3 yes from now you will see the impact.
** as i recall Mzee Jomo''s joke to Mchonga.....Julius! Back home ur leading milion of walking Corpses, decades later I came to realise Mzee Jomo was right. Poor Tanzanian universities, including so called Academic Staff associations, you name it.
Watanzani ni maiti ,wasiokuwa maiti ni wale ambao wapo ktk upinzani wa kweli. wengine wote wapo mentally locked up. They have millions of excuses and reasons why they should obey bad orders from this lame government despite the fact that the so called professors / Drs(Some are economists, accountants etc ) are considered to have more ability to survive outside the government.
 
Ku publish inategemea na mtu, wengi ma professor baada ya kumaliza chuo kapata phd haandiki tena anabaki anakula tu hela ya kufundishia
Hela ipi sasa?Mbona haijai.Wangekuwa wanajua hela, basi wagezipiga kisha tuwaone waki invest heavily kwa namna ambayo tungeona wakijiamini kiasi cha kuweza fikia mahali pa kusema kazi chafu za serikali hawazihitaji.Njia laiyopitia mkumbo, mhongo, na wengine ni aibu kabisa.
 
Nafikiri Matatizo ya Tanzania academics siyo kwamba wanashindwa kupublish au hawajui - tatizo ni motisha hakuna. Kupublish kunataka ufanye research, ambayo ina tumia fedha na muda mwingi. Sasa wasomi wetu Tanzania hawapewi hela yakutosha kufanya hiyo research.
Mkuu hawana tafiti zenye maana, na pia upikaji wa data unawafanya wasiwe target ya mashirika makubwa km google, facebook etc. Umeahi wasikiliza wakiongelea jambo la ku analyse issue. Utawaona km vile wanafanya guessworks au kutaka play right to every camps of thoughts.
Na pili hawana muda wa kutosha, utakuta wana wanafunzi wengi per head, na wanatumia muda mwingi kufundisha bila kuwa na nyenzo za kisasa za kuwasaidia. Nitatoa mfano wa Africa ya kusini _ kuna hela nyingi imetengwa kwa ajili ya Research na ni rahisi kuipata. Pili ukipublish paper moja unalipwa zaidi ya R 20000.00 = >Tsh.3,000,000 ambazo unazipata in cash na kiasi kama hicho kinakwenda kwenye Research account yako. Kwa hiyo kwa mwaka ukiweza kupublish paper 10 unapata zaidi ya milioni 30. (utazilipia Tax). Sasa motisha kama hiyo hamna hapa. Hizo silizo ingizwa kwenye account yako ya research zina kusaidia kusafiri na kuhudhuria conferences, kumkaribisha mtaalamu mwingine kutoka nje kuendeleza utafiti, kurecruti postgraduate students na mengineyo... hivyo ni tofauti zilizopo ukilinganisha na Tanzania. Nafikiri tunapoelekea hela ya utafiti itapatikana na publications zitaongezeka.
Mkuu umesikiliza concepts zao mkuu? Sio hawa wabongo.Hawa wanajua ccm imeiba kura vijijini badala waongee kweli au waachane na hizo issue.Unaona wanavyo struggle kubuni uogo.Utasikia Li CCM naliona km mbuyu fulani mkubwa,lina mizizi hadi vijijini.In fact unaweza kuona ama wanadanganyw(Ushaidi kuwa wanafuata public opinions na hawana zaidi ya common sense)a na ccm au nao hawafanyi critical thinking .
 
Nimejaribu sana kufuatilia PHD za US na Maprof wao..Aisee watu wanapigika sana paper zao kuwa published ktk journals za kueleweka.Watu wote wanapigika hadi wanaonyesha kiwango na weledi ndio wanapita.Si weupe,si wekundu,si wa njano na hata weusi..wengine hadi wanakimbilia kusema ni ubaguzi wa rangi..ila wakipita huwa wanaonyesha hiyo mambo haswa ktk real life.Hapa Bongo naona design km watu wanachukua tuu gamba..labda tuu km kuna siasa ndio zinawakwamisha.Kuna watu wa uchumi,Political science,vyuo vipya km vinapiga promo kwa staff wao fasta fasta fulani.Hivi kuna hizo journal ambazo haziwezi kuwa influenced kisiasa kweli?
Ukiona mtu anasoma na kuwa profesa huku kwetu ujue huyo ni kilaza kama una akili unaachaje kutumia akili yako kutengeneza mkwanja unahangaika na vitabu!
 
Kuna Profesa namjua pale UDSM paper yake ya mwisho ali-publish mwaka 1996 (miaka 21 iliyopita) tena kwenye journal chovu ya pale CASS inaitwa sijui UTAFITI, lakin yupo tu na bado anajiita Profesa. Anaishi kwa kudra za mwajiri. Hao ndo wa kufukuzwa kazi
 
Kuna Profesa namjua pale UDSM paper yake ya mwisho ali-publish mwaka 1996 (miaka 21 iliyopita) tena kwenye journal chovu ya pale CASS inaitwa sijui UTAFITI, lakin yupo tu na bado anajiita Profesa. Anaishi kwa kudra za mwajiri. Hao ndo wa kufukuzwa kazi
Si umtaje huyo Profesa ambae hafanyi tafiti? Haiwezekani ukajiita Profesa na hufanyi tafiti na kuchapisha matokeo kwenye machapisho ya kitaaluma. NO NO NO!!
 
Pale UDSM siku hizi mtu anaanza PhD na Supervisor huyoooooo anapresent Department (Proposal) anaenda field anaokoteza Data huyoo anarudi College/School anapresent fasta anapewa PhD!
* Supervisor mmoja PhD? tena Junior tu Dr.???
** Thesis Defence inafanyiwa College/School/Faculty unapata PhD?
*** Tunaua elimu huku tunachekeana asee
 
Pale UDSM siku hizi mtu anaanza PhD na Supervisor huyoooooo anapresent Department (Proposal) anaenda field anaokoteza Data huyoo anarudi College/School anapresent fasta anapewa PhD!
* Supervisor mmoja PhD? tena Junior tu Dr.???
** Thesis Defence inafanyiwa College/School/Faculty unapata PhD?
*** Tunaua elimu huku tunachekeana asee
Kwani utaratibu unaoufahamu ww ukoje
 
Kuna Profesa namjua pale UDSM paper yake ya mwisho ali-publish mwaka 1996 (miaka 21 iliyopita) tena kwenye journal chovu ya pale CASS inaitwa sijui UTAFITI, lakin yupo tu na bado anajiita Profesa. Anaishi kwa kudra za mwajiri. Hao ndo wa kufukuzwa kazi
College au school gani mzee tusifungane kamba humu ?
 
Ukiona mtu anasoma na kuwa profesa huku kwetu ujue huyo ni kilaza kama una akili unaachaje kutumia akili yako kutengeneza mkwanja unahangaika na vitabu!
Huu uzi umevamiwa, sio lazima uchangie kila post yawezekana hii sio size yako, kuitwa Prof au Dr ni lazima upitie mchujo wa shule ya msingi, upite mchujo wa shule ya sekondari, upite mchujo wa chuo kikuu, umalize degree ya kwanza etc!! haina uhusiano na pesa. Hawa wasomi ndio wamezifikisha nchi dunia ya kwanza
 
Back
Top Bottom