Hayo huwa tunayaita mahaba nitekenye nipate nyege nikulenge.,
Mtaani kwetu hakunaga huo ujinga sabini zitakuhusu.
mkuu kama unafanya kuonyesha watu huo unakuwa ulimbukeni..ila kuna watu wako hivyo tu..as kwenye jamii kuna watu wa tabia tofautitofautiIla hata mi sipendani haya makitu, nadhani ni ulimbukeni tu hakuna lolote
Halafu mbona umevaa hivyo kwenye public?! (Kwenye avatar yako) huo si ushamba huo!!! Kwanini usivae hivyo chumbani kwako na mpenzi wako au mmeo!!!?
Ukiyajibu hayo uje ulalamikie wanaoshikana mikono barabarani
mkuu kama unafanya kuonyesha watu huo unakuwa ulimbukeni..ila kuna watu wako hivyo tu..as kwenye jamii kuna watu wa tabia tofautitofauti
Huyu mtoa uzi ameachika inavyoonekana hana muda mrefu ..so kawivu flan amazing hiv anacho...polee
kumbe na yeye yule tu. hiyo avatar inathibitisha