Hivi mapenzi bila kusema uongo hayawezekani?

Hivi mapenzi bila kusema uongo hayawezekani?

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Eti wana JF ktk mapenzi wenzi hawawezi kuambiana ukweli hadi kudanganyana ndio mtu apate anachotaka.
Maana asilimia kubwa ya wasema kweli wamekuwa wakikosa boti la mapenzi.
Jamani bila cheating hupati penzi?
 
kweli kabisa mwana...mapenzi yananoga na uongo. mfano mdogo tuu. ebu jaribu kumwambia ukweli mwanamke kuwa nimevutiwa na wewe na ningependa nikuvue chupi uone kama utampata. lakini ukimdanganya bby nakupenda onyesha care za uzushi hapo lazima dada aingie line. so uongo lazima uwepo ili mapenzi ya noge....mwanamke ukimwambia ukweli from start to end inakula kwako mwana.
 
Unaweza usiseme uongo lakini hausemi ukweli wote. Maana yangu hausemi kila kitu!
 
Mapenzi,upendo na ngono,unazungumzia kipi kati ya hivyo?
 
Eti wana JF ktk mapenzi wenzi hawawezi kuambiana ukweli hadi kudanganyana ndio mtu apate anachotaka.
Maana asilimia kubwa ya wasema kweli wamekuwa wakikosa boti la mapenzi.
Jamani bila cheating hupati penzi?

Woman lie & Man lie
Waweza mweleza mwanamke ukweli halikuwa moyoni wadanganya.
 
Mpenzi unayetegemea kuoa usimdanganye, labda part time.
 
"Mimi sipendi kusema uongo, ila ukweli ulinicost pia!" Haya ni maneno aliyowahi kuyasema rafiki yangu mmoja wa karibu. Bado nayafanyia kazi kutafuta ukweli wake!!!
 
Mapenzi,upendo na ngono,unazungumzia kipi kati ya hivyo?

Mapenzi katika ujumla wake ambao waweza kuwa chanzo cha upendo.Kwa nini uongo ni mwingi kwa walio ndani au nje ya ndoa?
 
Bila Uongo aka Usanii kusingekuwa na relationship mapenzi yanabebwa sana na uongo,upande wa mabinti/wanawake usipowadanganya hauwezi ishi nao ni watu wa kuwapa matumaini ni watu wa kuwaaidi nchi ya kusadikika ni watu wanaoendeshwa na hisia/imagination so play ur cards right to win 'em aight???
 
Eti wana JF ktk mapenzi wenzi hawawezi kuambiana ukweli hadi kudanganyana ndio mtu apate anachotaka.
Maana asilimia kubwa ya wasema kweli wamekuwa wakikosa boti la mapenzi.
Jamani bila cheating hupati penzi?

habari ndiyo hiyo, watu wengi hawapendi ukweli, uongo njoo utamu kolea ndiyo habari ya mjini, jifanye mkweli kama hutazidi kuvimba macho tu................
So many girls fall in love with the wrong guys, simply because the wrong guys say the right things
 
Uongo nao ni muhimu sometimes ili kulinda penzi mfano kuna rafiki yangu kamdanganya bf wake kuwa anakaa na dada yake kumbe amepanga baada ya kugundua mpenzi wake haafiki msichana kuishi peke yake..
 
uongo wa kujenga unaruhusiwa maana wakati mwengine unaweza fanya jambo kwa nia njema mwenzio hataki so unamdanganya huku unamtaftia pozi la kumwambia mda unaohisi yuko tayari kukuelewa
 
Nikijua ukweli nitaumia,hata Kama nikikukuta utupu chumbani unakumbatiwa-nidanganye tu.
 
Eti wana JF ktk mapenzi wenzi hawawezi kuambiana ukweli hadi kudanganyana ndio mtu apate anachotaka.
Maana asilimia kubwa ya wasema kweli wamekuwa wakikosa boti la mapenzi.
Jamani bila cheating hupati penzi?

mkuu uongo katika mahusiano ni "unkwepable" hebu fikiria upo na mwenzi wako mnatembea barabarani mara ukakutana na msichana / mvulana wako wa kwanza kukuingiza katika ulimwengu wa maloveee je utamwambia ukweli ulivyo???
kingine umeshaoa/ kuolewa ila kabla ya hapo uliwahi kufededwa je ukiulizwa utasema ndio???
obvious hutasema na utakuwa wa kwanza kupinga ufededwaji!!!!!!
 
Kwa nature ya dada zetu huvutiwa na vitu vingi mara nyingine ni ngumu kuvigundua katika eary stages kadri siku zinavyasonga wajikuta unapungua katika mizani ndipo hapo uongo huanza kwa nia tofauti, uongo katika mapenzi upo na mara kadhaa hujenga.
 
Back
Top Bottom