Ukiwa mkweli mara zote kweli utapata shida! Baadhi ya wapenzi hupenda kudanganywa ingwa wao ukidanganya wanaona kweli na ukisema kweli unaonesha unadanganya au hujali...
Kuna aina ya uongo ambao unakubalika kama kumwambia mwenzio nitakujengea nyumba au kukununulia VITZ wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga na baiskeli huna........! Ni mapenzi unamuahidi mambo mazuri mazuri kuonesha kiasi gani unamjali na kumthamini....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.