Hivi malaria sugu ametutoka jamani??

Hivi malaria sugu ametutoka jamani??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,164
Reaction score
38,555
Mbona hivi ..kaka yangu huyu nilimmisi kweli mpaka ikafika nikiona thread zake naangalia walipukaji
naulizia bado yupo hai jamani ..maana jf kubwa jamani
kama yupo mpeni hai hata nusu ya heri
 
kweli,siku nyingi sana hajaonekana! Tumemmiss sana!
 
Yupo kajaa tele na ids za kumwaga
Moja imeanzisha uzi ati kanisa katoliki linaipataia mkwanja cdm
 
yule si mwana magamba embu jiulize magamba yepi yamevuta? Huenda na lenyewe lipo gamba kuu.
 
Back
Top Bottom