Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda, kuithamini na kujitoa kwa ajili ya nchi yake. Mzalendo wa kweli daima anaweka maslahi ya nchi mbele na ya kwake binafsi nyuma. Kwa maana hiyo hapo juu, mzalendo ni mtu yeyote mzawa na mwenye kuipenda na kujitoa mhanga na saa nyingine ikibidi kufa kwa ajili ya nchi yake. Uzalendo unabeba dhana nyingi sana ikianzia asili, utamaduni, lugha, siasa, historia, nk. Dhana zote zikifungwa kwenye dhana kuu ya utaifa.

Kuwa mzalendo ni zaidi ya kuifia nchi yako. Kwa sababu aidha kwa uzembe au kwa ujinga au kwa imani yake mtu aweza kufa lakini kumbe hakuipenda nchi ila kwa matakwa yake binafsi. Shinikizo la kuifia nchi ni lazima liwe tunda la uaminifu, upendo kujitoa, kuipigania na kuitetea nchi yako. Wako wazalendo ambao wameitetea nchi yao toka utotoni, ujanani na uzeeni na hawakuifia nchi. Watu wasio wazalendo ni hawa hapa: watu wanaoihujumu nchi kwa kuiba, kutumia rasilimali za nchi viabaya, kuharibu miundo mbinu, kuweka pesa nje ya nchi, kuisema vibaya nchi na viongozi au watu wake, kushabikia wizi na ufisadi, kuvunja sheria za nchi, kuthamini vitu na mambo kutoka nje, nk.
Hapo kwenye nyekundu nimekuelewa sana...
Je, utakubaliana nami kuwa ccm na serikali yake si wazalendo??
99.5% ya sifa umeainisha hapo zinawahusu...!!
 
Hapo kwenye nyekundu nimekuelewa sana...
Je, utakubaliana nami kuwa ccm na serikali yake si wazalendo??
99.5% ya sifa umeainisha hapo zinawahusu...!!
Ingekua vyema kurejelea kauli ya mtoa mada ili kuepusha mifarakano humu, kwa Imani ya Jeshi letu hatuna chama zaidi kwamba aliyeko madarakani ndio anaotoa Amri kama Afande mkuu
 
Nashangazwa sana na ubora wa polisi dhidi ya makomandoo wa JWTZ...
Hata ripoti nyingi zinaonesha wakienda foreign missions bado hawana ujuzi wa medani!!
So kifupi wana uwezo mdogo... kama wanabisha waombe friendly war...
Sorry umesema polisi against JWTZ? Lol hawa watu wameshawah kutana wapi kwenye uwanja wa vita? Honestly? Unapima uwezo wa jwtx kwa tukio jepesi kama hilo? You are not serious man
 
Sorry umesema polisi against JWTZ? Lol hawa watu wameshawah kutana wapi kwenye uwanja wa vita? Honestly? Unapima uwezo wa jwtx kwa tukio jepesi kama hilo? You are not serious man
Mbona hata missions wakipelekwa matokeo ni hayo hayo unayoyakataa??
Au wewe unawapimaje pimaje mwenzetu??
Kwa maoenesho yale ya leo ama??
 
Mbona hata missions wakipelekwa matokeo ni hayo hayo unayoyakataa??
Au wewe unawapimaje pimaje mwenzetu??
Kwa maoenesho yale ya leo ama??
Mission zipi wameenda matokeo yakawa hayo? Mission zipi wameenda wakashindwa police wakaweza?
Embu tupia evidence hapa?

Nikuulize swali hilo hilo pia. Unapimaje ubora wa kikosi cha jeshi?
 
Sisi hamna kitu. We mwenyewe shahidi.Leta madini mjuaji.

Umesahau kumuangalia na Rambo, comando kipensi na shozniga alivyopambana na jini, huwezi wafananisha na hawa wetu.

Kudadadeki kuna yule noritiriti no surenda na chucknoris hujawaona....

Sisi bado sana. Tupo nyuma sio kama kina maiko dudikofuu.
 
Mission zipi wameenda matokeo yakawa hayo? Mission zipi wameenda wakashindwa police wakaweza?
Embu tupia evidence hapa?

Nikuulize swali hilo hilo pia. Unapimaje ubora wa kikosi cha jeshi?
Mimi nimebase hoja yangu kwenye facts... ushahidi mahakamani... polisi vs makomandoo
Wewe nawe ungeleta facts zako...
 
Sasa kama kikosi chako watu wanne wamejeruiwa utawabebaje huo mzigo ni mfano wa watu kuwabeba na logistic ukumbuke africa ni mapori mizigo mingi inabebwa mgongoni
 
Mimi nimebase hoja yangu kwenye facts... ushahidi mahakamani... polisi vs makomandoo
Wewe nawe ungeleta facts zako...
Ushahidi na facts mahakamani? Lol
I thought una ushahid wa battle ground, missions, ct actions, rescue ops.. unakuja kufanya comparison kwa kesi nyepesi kama hiyo? Come on man..

Thats not how unapima uwezo wa jesh kwa facts za mahakamani. Halaf mahakama yenyewe ya kiraia. Tena watuhumiwa ni ex members of.. not active members..

Majeshi hayapimwi ubora kihivyo.. tafuta njia nyingine
 
Mtoa mada I'm sorry to say lkn ww ni mtu unayeweza kuwazarau hata wazazi wako na kuwatamani wa jirani au wazungu,just in your own profession jilinganishe na wa US be you a politician,lawyer,banker etc. We in UN,Africa,EAC are very proud of TPDF,never failed,since Liberation wars,Comoros,Mozambique, Kagera,M23,even internally, The Americans are very proud of their country n their army n and they don't cares even knowing that you exists
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Shida yako muwe mnavunjwa viuno uko mtaani ndio ujue jeshi liko vizuri,senge kweli.
 
Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika,na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa jwtz wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni.nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao huko dunian huwa wanakua namna gani kwenye battle field,nimebahatika kuwaona seal team six, wale jamaa ni habari nyingine bana,kwanza wako simple tu.
Sasa hawa wa kwetu naona wana mavifua makubwa tu ila sioni kama wako competent.

View attachment 2038131

View attachment 2038132

View attachment 2038133
Mbwembwe ukiwavua izo sare mahita anawageuza mboga
 
Nashangazwa sana na ubora wa polisi dhidi ya makomandoo wa JWTZ...
Hata ripoti nyingi zinaonesha wakienda foreign missions bado hawana ujuzi wa medani!!
So kifupi wana uwezo mdogo... kama wanabisha waombe friendly war...
Friendly war!!! Mkuu ukiniambia mimi wa hovyo nikakubali naomba kwa nukta hii nikuambie wewe ni wahovyo zaidii 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom