Hivi makampuni ya Vodacom, Tigo et al, wanailipa Safaricom kuutumia M-Pesa?

Hivi makampuni ya Vodacom, Tigo et al, wanailipa Safaricom kuutumia M-Pesa?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
10,884
Reaction score
18,824
Mwaka 2004 Safaricom waliingia mikataba na Huawei wawatengenezee system ya kuwawezesha kuwa na billing system walioiita M-Pesa. Huawei waliwazungusha hadi CEO akaenda China akasitisha mkataba. Alivyorudi akawa anapokea simu kutoka kwa wabunge na mawaziri wakimtaka arudishe mkataba. Waziri wa mwenye dhamana ya uhamiaji akamwambia CEO ajichunge maana yeye ni mgeni! Ikabidi CEO arudi nyuma na kuendelea na mkataba.

Baada ya miaka mitatu, 2006-2007 Huawei wakawapa Safaricom system ya M-Pesa. Ndiyo ikaanza kufanya kazi na kusambaa. Ni nani mmiliki wa system ya M-Pesa?
 
Mpesa ni mali ya vodafone group.. ambayo hata safari com na yeye anamilikiwa na vodafone group.
 
Back
Top Bottom