Hivi maisha yanakuwaje baada ya ...

rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
3,130
4,619
Wana jamvi. Mi nata kujua baada ya kufumania na ukasamehe (saba mara sabini) huwa maisha yanakuwaje ndani ya nyumba.
 
For me kuna makosa ya kusamehe lkn kufumania sio mojawapo,so hakuta kuwa na maisha btn me n her afta tht.
 
Kusamehe na kusahau. Ndivyo wanavyosema. Jambo hili ni gumu lakini, hasa ukizingatia kuwa limechukua uaminifu for certain percent. Life will never be the same again. . . If u get home late tayari there will be conclusions. The best thing, don cheat!
 
Unaweza kusamehe lkn kila akifanya kosa kdg mawazo yanarudi kule kule. Pia mkiwa home kila mkiangalia maigizo kwenye Tv hali inakuja tena kwenye mawazo. Kama hamjazaa watt afu mkafumaniana ni bora usisamehe hata kdg. Makovu hayataisha. Bora ukamfukuza na ukaowa mwingine hata kama kazaa na mtu mwingine roho itatulia.
 
Mi bado naomba Mungu anisaidie sana kwenye kusamehe 7x70, sidhani kama nikifumania mtu kwa macho yangu bado nitakua na hamu ya kuendelea nae, no matter what.
 
sameheaneni tu ila msipenane magonjwa.
Kusameheana na kusahau ni mpaka yakukute, kila mtu anareaction zake at the spur of the moment! Inategemea adrenalin itakavyopanda siku hiyo! Although kumsamehe haimaanishi nimesahau! Kusahau ni ngumu, mtu keshamchenga my waif wako! Wee! Hata kulala nae yaweza kuchukua miezi tatu coz kakojolea nanihii zake mle! Nawe ukananihii tena! Suala la mke ni ngumu sana labda nyumba ndogo maana unaitosa fasta!
 
Naona jinsia hapa naona kama ndo mjadala. wa kike wanahararisha fumanizi na msamaha ila wanaume wengi katu hawataki muafaka na hii kitu. Hapa kweli naamini kuwa MWANAMKE ANAFUMANIWA NA MWANAUME ANAKUTWA.
 
Ogopa sana kusamehewa na mwanamke, anapo kufumania ni mateso sana unajua watu wanashindwa kuelewa ukweli kua wanawake hawana huruma ila wana uchungu, kueni makini yamenikuta
 
Ogopa sana kusamehewa na mwanamke, anapo kufumania ni mateso sana unajua watu wanashindwa kuelewa ukweli kua wanawake hawana huruma ila wana uchungu, kueni makini yamenikuta

Wanalipa kisasi kwa kugawa nje au?
 
Mungu apushie mbali, lkn nifumanie kwa macho yangu halafu nisamehe!???
Loh! Neva, apo ndo its over.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom