Hivi maisha yanakuwaje baada ya ...

Mungu apushie mbali, lkn nifumanie kwa macho yangu halafu nisamehe!???
Loh! Neva, apo ndo its over.

Kufumania inauma sana. sasa umegundua na ukamfukuza forever.... watt utawafanyaje kama umezaa nae. Na wanawake wachache sana wasiocheat. Tunaishi nao kama ustaarabu wa maisha tu
 
Kufumania inauma sana. sasa umegundua na ukamfukuza forever.... watt utawafanyaje kama umezaa nae. Na wanawake wachache sana wasiocheat. Tunaishi nao kama ustaarabu wa maisha tu
Km unaniuliza mm kuh kids I can handle them coz nashkuru kifinacial niko vizuri Alhamdulillah.
Siwezi kuendelea tn na mtovu wa dabu huyo.
Na kumbuka I said ikiwa ntafumania kwa macho yangu sio maneno ya kuambia
 
Wana jamvi. Mi nata kujua baada ya kufumania na ukasamehe (saba mara sabini) huwa maisha yanakuwaje ndani ya nyumba.

Lazima ujue maana ya msahamaha huwezi kumsamehe alafu uwe nakovu tena.lazima maisha yawe kama awali
 
Ogopa sana kusamehewa na mwanamke, anapo kufumania ni mateso sana unajua watu wanashindwa kuelewa ukweli kua wanawake hawana huruma ila wana uchungu, kueni makini yamenikuta

umeseam weli nimeona kwa baba yangu mdogo kasamehewa lakini joto ya jiwe anayoipata ni heri wangedivorce ila wanaishi kwa ajili ya watoto tu. but ni ndoa ya mateso. huyo mke katuchukia mpk ndugu katuona wote ni mashetani
 
Km unaniuliza mm kuh kids I can handle them coz nashkuru kifinacial niko vizuri Alhamdulillah.
Siwezi kuendelea tn na mtovu wa dabu huyo.
Na kumbuka I said ikiwa ntafumania kwa macho yangu sio maneno ya kuambia

Kulea watt mkiwa wawili lina nafasi yake na halina uhusiano wa finacial status ya moja wenu. ni vemaukamvumilia watoo kwa pa1
 
dah, watu tuna machungu ya kumegewa utafikiri mmegaji anaondoka nayo teh teh teh...
 
Ogopa sana kusamehewa na mwanamke, anapo kufumania ni mateso sana unajua watu wanashindwa kuelewa ukweli kua wanawake hawana huruma ila wana uchungu, kueni makini yamenikuta

Ni kweli mkuu. Sasa hivi tumetoka kusuluisha ugomvi baada ya rafiki yetu kumkuta wif wake akiwa na njemba live. Mama kasingizia kuwa Mr naye alishafanya hivyo. Tumejaribu kuweka sawa lkn sijui wataishije umo ndani.... mr naona ana msimamo.
 
Kusamehe sio hisia, kufanya maamuzi ya kiakili zaidi kutafuta uelekeo wa matendo yako yajayo na kuamua kufanya matendo ya wema na upendo, kuchagua kuelewa udhaifu wa mwenzio na kumtakia mema. Bila kusahau kumkumbuka kwny sala zako.
Sio kusahau, japo ukiweza kunuia na kutekeleza mema kwa mkosaji, hasira na uchungu vinapungua hadi kuisha, belive me imenitokea.
Ni akili zaidi na uelewa wako. Bila kiburi, ujuaji, kukata tamaa, etc.
 
Kwa kweli unahitaji kuwa Mkristo halisi ili usamehe. Katika muktadha wa maandiki Matakatifu, hutakiwi kuishia kwenye kusamehe tu, inatakiwa usahau pia, sasa hapo ndipo penye ugumu. Yesu anasema "Msipowasemehe watu makosa yao, hata Baba yangu wa Mbinguni hatawasamehe ninyi". Doh hiyo ngumu? ndiyo maana nimeanza kusema kuwa unatakiwa kuwa Mkristo wa ukweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom