Hivi maisha yanakuwaje baada ya ...

Wana jamvi. Mi nata kujua baada ya kufumania na ukasamehe (saba mara sabini) huwa maisha yanakuwaje ndani ya nyumba.

Yanakuwa matamu sana kwani hata ukirudi saa nane usiku,hutaulizwa.. Utanyenyekewa utadhani mkeo anamhudumia Malkia..

Yaani full "freedom"... Ombea tu ihappen soon kwako!
 
ukishakubali kusamehe lazima uwe tayari ku-delete mafaili yote ya ya zengwe lililotokea na kuendelea na maisha...

Problem wengi wetu hatu-empty recycle bin ndo maana kikitokea kisa kingine una-restore na mafaili ya zamani.
 
Ukisha samehe unaanza upya

Hakuna la jana linalotakiwa kuendelea kupita mawazoni wala moyoni

Samehe na sahau. kisha anza upya
 
Problem wengi wetu hatu-empty recycle bin ndo maana kikitokea kisa kingine una-restore na mafaili ya zamani.
wataalam wanasema kila kilichoandikwa kwenye hdd hakifutki moja kwa moja. Utatumia kila njia lkn wakitaka wanaweza kupata hiyo data. Na ubongo uko hivo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom