Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,606
- 9,165
Ndio mana nimekwambia ya Gambia au nchi jirani ya Zenji. Kama huamini jamaa kachuja kalagabahoWewe ndo unahasira unadhani ni watanzania wote, hiyo 2020 hata wabunge wenu watapungua nakuhakikishia, Magufuli ni raisi mpaka 2025 labda aamue kutogombea mwenyewe
Hapa ndio siwaelewi kabisa wabongo. Yaani akipita magu full mtu, akipita Lowasa full mtu, sasa hawa watu ni walewale au?View attachment 460820View attachment 460821View attachment 460822View attachment 460823
Hapa ni nyumbani kwa kiongozi wa Makaburu mjini Geita Jana wakati Lowassa anapita kuwapa hie, watu walifunga biashara zao
Ha ha ha bwana January aliutaka u PM. Ghafla kapewa majaliwa unadhani atapigania chama tena labda yey ndio awe mgombea.... Ha ha ha soma alama zakeTume ya uchaguzi ni ile ile pia January yupo ni mwendo wa uchakachuaji kama kawaida.
kila mtu ana watu wake....na kila mtu kuna wanaompenda................Hapa ndio siwaelewi kabisa wabongo. Yaani akipita magu full mtu, akipita Lowasa full mtu, sasa hawa watu ni walewale au?
All over the world wakati hata mikutano ya SADC au AU tuu anaiogopa? Labda useme allover Chato na Shinyanga maana hata Kagera tuu ni excludedMIAKA 20 AU MUGABE STYLE. ..MAY HE REIGN. ..MAY HE SHINE ALL OVER THE WORLD. ...
Kwani wafalme wanatangatanga? MFALME HUKAA KWENYE KITI CHAKE NA WATU NDIYO WANAMFUATA YEYE. ..RAIS WETU NI SIMBAAll over the world wakati hata mikutano ya SADC au AU tuu anaiogopa? Labda useme allover Chato na Shinyanga maana hata Kagera tuu ni excluded
Nasema hivi bwana mkubwa, huoni aibu unatokwa na midevu kwa shemeji yako hapooo??? Jioni unabeba nondo, ugali kwa shemeji, hela ya saluni anatoa shemaji.Ukihama ukaenda kujitegemea, tutaongea lugha mojaUnasemaje wewe bana mdogo?
Tutafuta uchaguzi 2020 ili kubana matumizi!Nakumbuka wakati wa kampeni alivyopata shida kujinadi, ikafika mahali mzee wa watu akaanza kupiga push ups, akaongea kila lugha ili raia wamuelewe haikutosha akaacha na chama chake akaanza kukiponda na kusema wao ndio wameifikisha hii nchi hapa.
Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.
Vijijini huko atawaeleza nini kuhusu milioni 50 alizoahidi, ataenda huko kweli kuomba kura zao. Wafanyabiashara ambao wamefunga biashara zao kutokana na hali mbaya kiuchumi atawaambia nini? Kuna msemo unasema "usitukane mambo kabla hujavuka mto" nakumbuka Mhe alianza kwa mbwembwe na dhihaka nyingi kwa watangulizi wake, nadhani hivi sasa anajionea.
Haya ni machukizo kwa PogbaView attachment 460820View attachment 460821View attachment 460822View attachment 460823
Hapa ni nyumbani kwa kiongozi wa Makaburu mjini Geita Jana wakati Lowassa anapita kuwapa hie, watu walifunga biashara zao
Nakumbuka wakati wa kampeni alivyopata shida kujinadi, ikafika mahali mzee wa watu akaanza kupiga push ups, akaongea kila lugha ili raia wamuelewe haikutosha akaacha na chama chake akaanza kukiponda na kusema wao ndio wameifikisha hii nchi hapa.
Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.
Vijijini huko atawaeleza nini kuhusu milioni 50 alizoahidi, ataenda huko kweli kuomba kura zao. Wafanyabiashara ambao wamefunga biashara zao kutokana na hali mbaya kiuchumi atawaambia nini? Kuna msemo unasema "usitukane mambo kabla hujavuka mto" nakumbuka Mhe alianza kwa mbwembwe na dhihaka nyingi kwa watangulizi wake, nadhani hivi sasa anajionea.
Wanaompokea Magu husombwa na maroli kuletwa mjiniHapa ndio siwaelewi kabisa wabongo. Yaani akipita magu full mtu, akipita Lowasa full mtu, sasa hawa watu ni walewale au?
Muda si mrefu atanyang'anywa kofia moja .Nakumbuka wakati wa kampeni alivyopata shida kujinadi, ikafika mahali mzee wa watu akaanza kupiga push ups, akaongea kila lugha ili raia wamuelewe haikutosha akaacha na chama chake akaanza kukiponda na kusema wao ndio wameifikisha hii nchi hapa.
Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.
Vijijini huko atawaeleza nini kuhusu milioni 50 alizoahidi, ataenda huko kweli kuomba kura zao. Wafanyabiashara ambao wamefunga biashara zao kutokana na hali mbaya kiuchumi atawaambia nini? Kuna msemo unasema "usitukane mambo kabla hujavuka mto" nakumbuka Mhe alianza kwa mbwembwe na dhihaka nyingi kwa watangulizi wake, nadhani hivi sasa anajionea.
TELL THEM.......Wenye upeo wa kuona mbali wameshaachana na hizi kelele,wameshagundua ni kelele tu,CCM ni ile ile,tume ya uchaguzi ni ile ile na imefanyiwa marekebisho msiyopenda kusikia zaidi,katiba ni ile ile,kwa kukukumbusha 2020 hakuna UKAWA kwa wenye kuelewa wameshaelewa,CDM kama watamuweka tena yule waliyemnadi ni FISADI PAPA tena,basi CCM ushindi ni wa saa 5 asubuhi,yule jamaa hatakaa aachiwe kikombe kwa namna yoyote aingie IKULU,haitakaa itokee.Ndio maana ya ule usemi wa afe beki afe kipa.
Nakumbuka wakati wa kampeni alivyopata shida kujinadi, ikafika mahali mzee wa watu akaanza kupiga push ups, akaongea kila lugha ili raia wamuelewe haikutosha akaacha na chama chake akaanza kukiponda na kusema wao ndio wameifikisha hii nchi hapa.
Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.
Vijijini huko atawaeleza nini kuhusu milioni 50 alizoahidi, ataenda huko kweli kuomba kura zao. Wafanyabiashara ambao wamefunga biashara zao kutokana na hali mbaya kiuchumi atawaambia nini? Kuna msemo unasema "usitukane mambo kabla hujavuka mto" nakumbuka Mhe alianza kwa mbwembwe na dhihaka nyingi kwa watangulizi wake, nadhani hivi sasa anajionea.
Kuanzia 2018 mtaona matunda na mtasau yote yanayowakuta saiz
Mlisema hivyo hivyo 2015. Matokeo yake Lowassa akakimbilia chademaKatiba ya JMT (1977) inamruhusu, na kanuni za chama chake zinamruhusu. Lakini ikitokea baadhi ya mawaziri wakajitenga kati ya sasa na 2020 kwa kuona kwamba hawaendani na kasi yake, hivyo kupisha wenye uwezo, watavurugana sana ndani ya chama chao, na sio kwa uchaguzi wa 2020 tu bali hata uchaguzi wa Mwenyekiti taifa baadae mwaka huu.
Raisi yoyote makini lazima afanye reforms mapema kabisa wakati wa uongozi wake, tuliona Ben Mkapa alifanya reforms na zilisumbua lakini mifumo ilipokaa sawa watu walimuelewa. Sioni kwanini tunakata tamaa mapema namna hii, nadhani tumpe muda,nina imani tunaelekea sehemu nzuri. Kikubwa cha msingi ni diplomasia itumike zaidi.
Mkuu Molembe, hili sio swali bali ni jibu tuu, kwa CCM, the incumbent during the half term is always the only candidate!. Hivyo atagombea tena na atashinda kwa kishindo kikubwa kuliko sasa, maana Watanzania ni wepesi wa kusahau, kufikia 2020 mabomba nchi yatakuwa yanatoa maziwa na asali, hakuna atakayekumbuka dhiki tena!. Wahanga wa tetemeko watakuwa wamesahau, watumishi wa umma mishahara minono, mikopo ya elimu ya kwa wote, vyuo vyote, kozi zote! .Maswali pekee ambalo najiuliza mpaka sasa huyu mtu atagombea tena? Hakumbuki yaliyompata kipindi kile, hivi atawaeleza nini watanzania wamuelewe au ndio anasubiri 2019 awasaulishe, atarudi Kagera kuomba kura? Kule simiyu ataenda? Watumishi wa umma atawaomba kura? Wanafunzi wa vyuo vikuu je?, wahitimu wa vyuo vikuu atawambia nini? Atajiteteaje kuhusu Tanzania ya viwanda, nakumbuka alisema serikali yake ni viwanda hivyo viwanda vimefika vingapi? Au ndio vile anavyozindua vilivyo anza kufanya kazi kipindi cha Kikwete.