Hivi maex huwa wanaachana?

Hivi maex huwa wanaachana?

Halafu kuna mwanaume mmoja anataka amjue vizuri mwanamke. Endeleeni tu kuwajua hawa viumbe, Kinondoni bado nafasi zipo tele
 
We nawe...muache mwenzio...aombe ushauri...utafikiri wewe umekamilika..mxiuuuu
Jamaa mjinga sana sasa nini maana ya fake ID humu kuna watu wanafunguka ikitokea ukutanishwa huwezi amini kama ni yeye tuko nyuma ya mwavuli wa Fake ID ili kupata freedom of expression
 
Wanaachana na tena ni kitu rahisi kabisa,shida yako ni njaa na tumbo huwa halijai mkuu.
 
Ex hakuna msamiati wa sitaki,ex anakupigia nitafute wk end huyu mume wangu ananitia shombo tu,mambo yenyewe hayawezi.
 
Iron butterfly hao rafiki zako tuwakomeshe na wao, nakuja pm tupange mipango ya kuwakomesha, nataka niwagegede kama wewe ulivyogegedwa, wako wangapi kwanza? Naomba kwa hili swali nijibu PM.
Asante.
 
Iron butterfly hao rafiki zako tuwakomeshe na wao, nakuja pm tupange mipango ya kuwakomesha, nataka niwagegede kama wewe ulivyogegedwa, wako wangapi kwanza? Naomba kwa hili swali nijibu PM.
Asante.
Wawil najua mwenyewe ntawafix vipi
 
Back
Top Bottom