Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,958
Points
2,000
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,958 2,000
Nina rafiki yangu alinieleza aliamua kusomea udakitari ili afaudu nyapu za wamama na anasema mwanamke akifika kwake lazima amlaze kwanza katika kale kakitanda amkague ndo aridhike hata ashike vuzzi to kwake kwatu.
 
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
32,821
Points
2,000
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
32,821 2,000
Kweli hiyo kitu inakera halafu midole inauma balaa.. ila hakuna jinsi maana ndio njia ya kujua cm ngapi mama kafunguka ili wamsaidie kuzaaa na kama haijafunguka zaidi wamfanyie operation. Kuwa mama kunahitaji kujitoa sadaka kama hivyo kuvumilia vidole japo tunakereka.
audacious mtafute mbadala wa vidole kama vipi
 
Diana Spencer

Diana Spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2018
Messages
307
Points
500
Diana Spencer

Diana Spencer

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2018
307 500
Kweli hiyo kitu inakera halafu midole inauma balaa.. ila hakuna jinsi maana ndio njia ya kujua cm ngapi mama kafunguka ili wamsaidie kuzaaa na kama haijafunguka zaidi wamfanyie operation. Kuwa mama kunahitaji kujitoa sadaka kama hivyo kuvumilia vidole japo tunakereka.
audacious mtafute mbadala wa vidole kama vipi
Vidole vinaingizwa kwa mimba ya miezi mingapi
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,605
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,605 2,000
Mnatutisha ambao hatujazaa. Mikono ya mwanaume nisie na mahusiano nae jamani aaaaghrrrr
Hautishwi mdogo wangu. Tena Yakikufika ndio utakwenda kupanda mwenyewe kitandani na kuomba wakupime kama njia imeshafunguka ili uende kunakohusika ukamshushe mwanao.

Haikwepeki hiyo labda kama asemavyo mleta uzi kuje mbadala.
 
dark angel

dark angel

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
2,117
Points
2,000
dark angel

dark angel

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
2,117 2,000
Baby dad wangu alikataa haya mambo akanitafutia daktari mmama.
Tena siku hizi madaktari wa kiume wajinga , ukienda hospitali unawaambia unaumwa tumbo chini ya kitovu ili wakupime mkojo, wanakwambia ulale wakuingizie mavidole.
Niligoma yakaniandikia " patient refuse to be examined "sijui ndiyo hivyo.
Nikaondoka zangu, nilimwambia mpenzi wangu, nikageuka shujaa ndani ya nyumba
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
25,822
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
25,822 2,000
Na wale wanaogomaga kushikwa huko na watu wao, ona sasa wanaenda shikwa na watu wengine
 
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Messages
622
Points
1,000
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2018
622 1,000
Kweli hiyo kitu inakera halafu midole inauma balaa.. ila hakuna jinsi maana ndio njia ya kujua cm ngapi mama kafunguka ili wamsaidie kuzaaa na kama haijafunguka zaidi wamfanyie operation. Kuwa mama kunahitaji kujitoa sadaka kama hivyo kuvumilia vidole japo tunakereka.
audacious mtafute mbadala wa vidole kama vipi
Kabisa
 
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Messages
622
Points
1,000
MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2018
622 1,000
Wananchi tuheshimiane kwenye taaluma zetu. Kama unaona tunafaidi Sana. Soma na wewe.
Siwezi tamani kazi za kuchungulia na kushika wanawake sehemu zao za siri. Kwa matamanio yenu Hata bila sababu za msingi mnashikashika private zao
 
Forum statistics

Threads 1,294,041
Members 497,789
Posts 31,163,268
Top