Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

Nina rafiki yangu alinieleza aliamua kusomea udakitari ili afaudu nyapu za wamama na anasema mwanamke akifika kwake lazima amlaze kwanza katika kale kakitanda amkague ndo aridhike hata ashike vuzzi to kwake kwatu.
Lahaulaaaa!!!!
 
Kweli hiyo kitu inakera halafu midole inauma balaa.. ila hakuna jinsi maana ndio njia ya kujua cm ngapi mama kafunguka ili wamsaidie kuzaaa na kama haijafunguka zaidi wamfanyie operation. Kuwa mama kunahitaji kujitoa sadaka kama hivyo kuvumilia vidole japo tunakereka.
audacious mtafute mbadala wa vidole kama vipi
 
Vidole vinaingizwa kwa mimba ya miezi mingapi
 
Baby dad wangu alikataa haya mambo akanitafutia daktari mmama.
Tena siku hizi madaktari wa kiume wajinga , ukienda hospitali unawaambia unaumwa tumbo chini ya kitovu ili wakupime mkojo, wanakwambia ulale wakuingizie mavidole.
Niligoma yakaniandikia " patient refuse to be examined "sijui ndiyo hivyo.
Nikaondoka zangu, nilimwambia mpenzi wangu, nikageuka shujaa ndani ya nyumba
 
Kweli hiyo kitu inakera halafu midole inauma balaa.. ila hakuna jinsi maana ndio njia ya kujua cm ngapi mama kafunguka ili wamsaidie kuzaaa na kama haijafunguka zaidi wamfanyie operation. Kuwa mama kunahitaji kujitoa sadaka kama hivyo kuvumilia vidole japo tunakereka.
audacious mtafute mbadala wa vidole kama vipi
Kabisa
 
Wananchi tuheshimiane kwenye taaluma zetu. Kama unaona tunafaidi Sana. Soma na wewe.
Siwezi tamani kazi za kuchungulia na kushika wanawake sehemu zao za siri. Kwa matamanio yenu Hata bila sababu za msingi mnashikashika private zao
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom