Hivi Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama mjamzito?

Hivi nyie Madaktari hamna njia mbadala ya kupima njia ya uzazi ya mama wajawazito tofauti na kudumbukiza mkono mzima kwenye vidudu vya wake zetu?

Hiyo njia yenu ya kuingiza mikono kwenye uke inawaumiza na inawakera wajawazito wengi sema tu hawana jinsi.

Tafuteni njia mbadala.
Kama ni mkeo wamsemea, ujue wao wanapenda sana. Wewe jidanganye tu kuongea hisia zako.😂
 
Wivu mwingine hauna hata maana, kama mwanamke ushamtia mimba tayari, na ulifurahi saana siku aliyokwambia Nina mimba. Na unajua kuwa Daktari lazima achunguze afya ya mama mjamzito kwa usalama Wa mama na mtoto aliyepo tumboni. Lakini bado unaona Daktari anafaidi kuingiza mkono. Ukweli ni kwamba madaktari wanafanya kazi ngumu saana tena zinazohitaji ujasiri na uvumilivu.

Mbona nchi za kiarabu hakuna huu upumbavu ?inamana wakunga nchi hii ni wanaume tu?Wanawake mnaosomaga nao huwa wanaishia njiani hawafiki level hizi?kuna magonjwa ya wanawake inabidi yawe yanatibiwa na wanawake wenzao, haya mambo ya kutiana vidole sehem za siri watiwe na wanawake wenzao.wanaume wenyewe wa sikuizi wamekuwa na matamanio mpaka Ina kera.
 
Vidole viwili vina urefu gani kupima njia ? We shamba tu kama hujui si umyuti ? Mkono na sio vidole
😁 Ni Vidole Viwili na sio mkono, na Urefu wa Vidole sio issue, issue ni Njia imefunguka cm ngap kwa upana ? na sio njia tu inayo angaliwa,, na hali ya mlango wa kizazi na hali ya Nyonga kama inaruhusu mchakato mzima wa normal delivery/Kujifungua kwa njia ya kawaida.
 
Nina daktari wa kike sasa hivi.
Lakini yule daktari ni tabia mbaya tuu, mbona nilienda hospitali nyingine nikaambiwa nipime damu na mkojo tuu unaweza kuwa typhoid au UTI.
sikuona sababu ya yeye kutaka kunitia vidole ndiyo maana.
Mkuu hembu tusaidiane kupata mawasiliano au hospital anayopatikana huyo Daktari wa kike ili tusaidie wake zetu.

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
 
Your doctor will also manually inspect your internal reproductive and sexual organs. To do this, your doctor will put on lubricated gloves and insert two fingers into your vagina while using the other hand to feel your abdomen. This manual exam looks for irregularities in the uterus or ovaries.
Ndoivo 🤠
 
Naomba njia mbadala ipatikane mapema kabla sijaconceive..
Mbona nchi za kiarabu hakuna huu upumbavu ?inamana wakunga nchi hii ni wanaume tu?Wanawake mnaosomaga nao huwa wanaishia njiani hawafiki level hizi?kuna magonjwa ya wanawake inabidi yawe yanatibiwa na wanawake wenzao, haya mambo ya kutiana vidole sehem za siri watiwe na wanawake wenzao.wanaume wenyewe wa sikuizi wamekuwa na matamanio mpaka Ina kera.
Navyojua mimi njia ya uzaz inapimwa siku ndio unajifungua na probably chupa ishapasuka na uchungu unaelekea peak...sasa muda huo mama ni full kilio cha maumivu ya uchungu hapo ndio unapimwa njia kujua kama uko tayar kujifungua.Muda huo hata ushikwe na vidole vya nani hakyanani nyege hawez kuziskia na hata wewe unayepima wala hata hayo mawazo ya kumtaman mama aliye kwenhe uchungu wa kujifungua huwez kuwa nayo.
Na kwq hospital hiz za kisasa kidogo maqra nying wanajitahid akina mama kuhudumiwa na manesi ....Punguzen mawazo finyu kidogo.
 
Duh,umekuja kunikot" leo niko nanyonyesha 😅nisha experience hicho kipengele aseeee,🙌
 
Back
Top Bottom