Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,711
- 1,663
Samahani wakuu mimi si muandishi mzuri.
Hili swala nimekuwa nikijiuliza muda sana kuhusu nyama tunazouziwa na kula.
Kama tunavyojua kuwa machijioni lazima kuwe na dakitari anayepima wanyama wanaochinjwa kama ni salama kwa kula ama laa!
Swali langu ni je wanyama (ng'ombe,mbuzi nk) wanaonunuliwa na kuchinjwa hakuna hata mmoja mwenye ugonjwa ?
Je nani amewahi kushuhudia ng'ombe,mbuzi nk wakizikwa kwa kukutwa na maradhi ambayo hupelekea kutokuwa salama kwa kitoweo?
Je kuna haja ya kuwachunguza hao madaktari wanaopima wanyama? Uskute wanachukua rushwa na kutuacha sisi tufe🙏