Hivi Lowassa asipoteuliwa kugombea itakuwaje?

Hivi Lowassa asipoteuliwa kugombea itakuwaje?

Nashindwa kujua nape ndo mwenye ID zote ktk hii thread maanake topiki yenyewe kama nape vile kaanzisha na michango mingi inafanana na michango ya akili zilizooza kama nape.nakukemea wee nape pepo aloko ndani yako tokaaaa tokaaa nasema kwa jina la yesu tokaaa.semeni aamina haleluyaaa.basi wanajavi pepo alokuwa ndani yako/yenu(nape/nyie) ametoka na akili zako/zenu zimefunguka.aleluyaaaaa

Munamuonea Nape. Nape huko busy anakijenga CCM hapo naye anayo maslahi jimbo LA Mtama. Lakini yeye Hana shida lazima awapige wote mkwara ili watu waache kujipitisha pitisha na kwanza kampeni mapema kama wanavyofanya baadhi ya wagombea wa udiwani na mbunge.
 
Kanisa katoliki lina utaratibu wake wa kualika wageni na wageni rasmi, siyo lazima mgeni rasmi awe kiongozi serikalini au awe mbunge wa eneo fulani anaweza akawa mtu fulani maarufu au anayeweza kuongea akasikilizwa kama unavyoona na wewe pia ulimfuatilia na kumsikiliza
Kumbuka pia kuwa ukiwa mwanasiasa lazima ukubali kuna kushinda na kushindwa
 
Utakufa wewe na familia yako utawaacha waja Wa mwenyezi Mungu wakilitumikia taifa lao!
Mwizi mkubwa fisadi huyo unamwita mja wa mwenyezi mungu.huna hata aibu nasikia amepanga kutumia bilioni 5 kutangaza nia.
 
Hatuwezi kumteua Lowassa na mutabakia mumekenua meno kama mataahira.
 
Lowassa anasemwa kuwa ana nguvu chamaní. Anasemwa kuwa aweza kuparaganyisha chama endapo atakatwa jina au kutoteuliwa kuwa mgombea wa Urais. Eti,atakiyumbisha chama. Wapi!? Propaganda tu.

Lowassa ni mwanachama wa kawaida sana wa CCM. Hana ukubwa,umaarufu au nguvu zozote zisizo za kawaida chamani. Rupia zake zinamtangaza kama anavyoonekana. Yeye yu kinyume chake. Hakuna aliye juu ya chama. Hakuna maarufu zaidi ya CCM.

Lowassa haufikii mwangwi wa Mrema wa 1995. Mrema alihama chamani na hakuna lolote lililotukia. CCM ikapata na kupeta. Lowassa sasa anafika patamu. Sehemu muhimu. Hatua za hatamu. Ajitangaze,aulizwe na ajiandae.

Rupia hutoa mlio,rupia huchora uongo. Subirini muone filamu ya hamu. Mtaamini!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Nimenda mwisho filamu ya hamu na kweli ilitokea
 
Jibu lake ni.... CCM watashangilia sana kwa sababu ndiye anayewanyima usingizi...
 
CCM ni Mwamba nimeamini kumkata Lowasa? Na hakuna kilichotokea bado wako ngangari.
 
Back
Top Bottom