Wasira ndio rais Mtarajiwa, hapigi kelele katulia utadhani hayupo.hakuna Mgombea mwingine wa CCM anayeweza kuzungumzwa humu jf isipokuwa Lowassa peke yake? kuna kina Membe, Wasira na wengine, mbona sioni wakuu mkiwajadili?
Au ndio methali ya Mti wenye matunda ndio wenye kupopolewa mawe?
kidumu chama cha mapinduzi
unamdanganya nani ?Lowassa rais iwe isiwe...inyeshe isi nyeshe..kuche kusiche.mkae uchi ama mvae Nguo.tofauti na hapo chama kipande kipande
ant lowasaJana ktk taarifa ya Habari ya saa mbili usiku ITV nilimuona Mh. Lowassa, alihudhuria Jubilee ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Paul Ruzoka. Nilitegemea kuwa kiongozi wa Serikali ndiye angepewa nafasi ya kuongela LAKINI kwa mastaajabu alipewa Mh. Lowassa!
Kwanza ninajiuliza, wamempa Lowassa hiyo nafasi ya kuongea kwenye hiyo Jubilee kama nani? Lowassa si kiongozi wa Serikali, sio Mbunge wa Tabora, na wala sio Mkatoliki!
Ninachokiona ni kuwa kuna bidii nyingi na nguvu kubwa inatumika kutaka kumpa Lowassa nafasi ya kujionyesha ktk kila tukio kubwa. Kwa upande mwingine kuna nguvu kubwa ya namna hiyohiyo upande wa Chama chake cha CCM kuhakikisha kuwa Lowassa hapati nafasi ya uteuzi wa kugombea kupitia CCM ingawa ni kama wameelemewa na upepo wa mbisho kutoka upande wa Lowassa.
Najiuliza; hivi itakuwaje ikiwa Mh. Lowassa atatoswa na chama chake kuwania huo Urais? Mbona ni kama vile hiyo nafasi anaitafuta kwa udi na uvumba, na kwa kufa na kupona? Najisikia kupatwa na huruma upande mmoja na hofu kwa upande mwingine.
Vv
Lowassa rais iwe isiwe...inyeshe isi nyeshe..kuche kusiche.mkae uchi ama mvae Nguo.tofauti na hapo chama kipande kipande
Lowassa rais iwe isiwe...inyeshe isi nyeshe..kuche kusiche.mkae uchi ama mvae Nguo.tofauti na hapo chama kipande kipande
Lowassa ni nani nchi hadi alazimishe uongozi ?.
Hata Mimi nashangaa jinsi anavyopata upenyo hadi kwenye tukio kama la jana kule Tabora.
Vv
Mkuu Liverpool FC, hakuna haja ya majibu, kila kitu kikao wazi. Wewe hujashituka kymwona Tabora jana mbele ya Maaskofu tena anapewa nafasi ya kuzungumza wakati viongozi wapo, na hawajaalikwa? Mkuu wa Mkoa au mwakilishi wake alikuwepo, mbona hakupewa nafasi kama aliyopewa Lowassa?
Mwezi uliopita wakati Askofu wa Jumbo la Shinyanga anasimikwa JK alikuwepo na alipata nafasi ya kuzungumza; lkn Lowassa naye alikuwepo pia, na kama JK asingekuwepo nadhani Lowassa angepewa nafasi ya kuzungumza!
Vv