Hivi Lowassa asipoteuliwa kugombea itakuwaje?

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
6,051
Reaction score
5,949
Jana ktk taarifa ya Habari ya saa mbili usiku ITV nilimuona Mh. Lowassa, alihudhuria Jubilee ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora, Paul Ruzoka. Nilitegemea kuwa kiongozi wa Serikali ndiye angepewa nafasi ya kuongela LAKINI kwa mastaajabu alipewa Mh. Lowassa!

Kwanza ninajiuliza, wamempa Lowassa hiyo nafasi ya kuongea kwenye hiyo Jubilee kama nani? Lowassa si kiongozi wa Serikali, sio Mbunge wa Tabora, na wala sio Mkatoliki!

Ninachokiona ni kuwa kuna bidii nyingi na nguvu kubwa inatumika kutaka kumpa Lowassa nafasi ya kujionyesha ktk kila tukio kubwa. Kwa upande mwingine kuna nguvu kubwa ya namna hiyohiyo upande wa Chama chake cha CCM kuhakikisha kuwa Lowassa hapati nafasi ya uteuzi wa kugombea kupitia CCM ingawa ni kama wameelemewa na upepo wa mbisho kutoka upande wa Lowassa.

Najiuliza; hivi itakuwaje ikiwa Mh. Lowassa atatoswa na chama chake kuwania huo Urais? Mbona ni kama vile hiyo nafasi anaitafuta kwa udi na uvumba, na kwa kufa na kupona? Najisikia kupatwa na huruma upande mmoja na hofu kwa upande mwingine.

Vv
 
Lowwasa anachama chake ambacho sio CCM atakachogombea.
 
CCM imeshikwa pabaya na EL... Ni kwamba kumpitisha yeye wapo wasiotaka... na kumtosa yeye wapo wsiotaka...
Kumtosa kuna hasara kubwa kwa CCM kuliko kumpitisha..

Wapo njia panda, ingawa hawasemi
 
Ningepata mtu wa kujibu swali hili ingepenza sana Ngongo

Mkuu Liverpool FC, hakuna haja ya majibu, kila kitu kikao wazi. Wewe hujashituka kymwona Tabora jana mbele ya Maaskofu tena anapewa nafasi ya kuzungumza wakati viongozi wapo, na hawajaalikwa? Mkuu wa Mkoa au mwakilishi wake alikuwepo, mbona hakupewa nafasi kama aliyopewa Lowassa?

Mwezi uliopita wakati Askofu wa Jumbo la Shinyanga anasimikwa JK alikuwepo na alipata nafasi ya kuzungumza; lkn Lowassa naye alikuwepo pia, na kama JK asingekuwepo nadhani Lowassa angepewa nafasi ya kuzungumza!

Vv
 
Last edited by a moderator:
Mgombea wa ccm ni Jaji Ramadhani huyo fisadi hatumhitaji
 
Kama Jaji bafo yuko Mahakama ya Africa tumuombe awasaidie wazee wetu wastaafu wa EAC walipwe haki zao.Hawa Wazee wanatia huruma saana. Kila siku wapo pale Mnazi mmoja wanashindia kahawa na kashata tena ya KU BOM.Jaji tunakuomba uwasaidie kabla ya kuwania URAIS na Mwenyezimungu atakubariki uteuliwe.
 
Itakuwa usiku, itakuwa mchana, jogoo watawika na maisha yataendelea!.
 
Back
Top Bottom