kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,883
- 2,786
- Thread starter
- #81
Kila kitu kinamuda wake na wakati wakeKweli ndio maana CCM wanatawala kirahisi hii nchi... Yaani mtu badala ya kuuliza ni biashara gani au wajikite sector gani ili waweze kupata maendeleo kwa ajili yao na vizazi vyao mtu anawaza jinsi ya kumsuarez mwenzie