suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
Last edited by a moderator:
sr bachelor salam zikufikie my honeyy
Sasa mbona unanirusha rusha wakati aaah ngoja niki PM nisije haribu le thread la wenyewe bure mbo
Mwanamke una msimamo ka kobe duh sr b anafaidi aisee
pole masai dadakama mkeo mweusiiiii kama masai dada hata ungate ulimi haitokei love bite
mi nishangwatwa hadi kidonda ila kikapona na HAKIKUACHA ALAMA
pole masai dada
Salam kwa Mafikizolo
Koh koh koh thx
Niko bize kufuata nyayo za Luis Suarez....Wewe huwa hulavubaitiki........?.........
Niko likizo ya misa.....Hazbendi jumapili leo kuna mkutano wa wababa kanisani
Niko bize kufuata nyayo za Luis Suarez....
Niko likizo ya misa.....
Mlivoapa katika shida na raha...... shida zenyewe ndizo hizo sasa.....:becky::becky::becky:Mbona unataka kutupa kazi ya ziada wakezo kukuombea???
Ntakuja kivingine....sijaridhika na hukumu nakuja na kamzizi sukari mahaba nikikatafuna tu hukunamwaga sera lazima karanga zionjwe..
ha ha ha ha hapo hanma mzizi nimemwaga sumu ya hatari
Sikia mkuu ebu nipe mbinu we ulifanyaje? sio unicheke bila msaada na ujue mi mwanaume mwenzio...afu ujue mi ndio ntakuzika afu haya mambo ni kupita tu, afu unajua kani PM makubwa kukuhusu..afu afu afu mengine nimesahau
Umbea kumbe nayo kazi dah... mamaafacebook
Mlivoapa katika shida na raha...... shida zenyewe ndizo hizo sasa.....:becky::becky::becky: