Hivi love bite inawekwaje?

Hivi love bite inawekwaje?

Duh!...hivi love bite watu wanang'atana??....hili kwangu jipya....naona hizi ni love bite za kidigitali lol!
 
kama mkeo mweusiiiii kama masai dada hata ungate ulimi haitokei love bite

mi nishangwatwa hadi kidonda ila kikapona na HAKIKUACHA ALAMA

Love bite kwa mweupe akinyonywa sana itatokea, ,na haibaki milele itFutika tu
 
Last edited by a moderator:
Mie natamani kujua jinsi ya kumpatia mwenza love bite lakini kila nikimng'ata sioni chochote au anatakiwa ang'atwe hadi dam itoke? Nijuzeni jamani

Umenifanya nimkumbuke Wangu wa maisha mwanzoni mwa ndoa ilikua nikiaga nakwenda kutembelea wazazi, basi hiyo show Yake love bite nashinda na ushungi.....
 
kuna vimashine flani hivi vipo pale game mlimani city ndio vinatumika kuweka love bite
 
Umenifanya nimkumbuke Wangu wa maisha mwanzoni mwa ndoa ilikua nikiaga nakwenda kutembelea wazazi, basi hiyo show Yake love bite nashinda na ushungi.....

Inakuaje iyo kitu jamani tupeni formula.
 
Aha ha ha ha! Duuh, hii michezo nilidhania iliishia ile miaka ya 90 lol!. Demu wako kama anataka kuwekwa love bite kule kwenye nanihii, mwambie aje nikusaidie kumuweka.
 
Inakuaje iyo kitu jamani tupeni formula.

Humtafuni mwenzio Kama Big G,na inategemea huyo mwenzio rangi Yake ikoje ya mwili, mnunulie cheni ya kiuno au earrings atafurahi zaidi kuliko Love bite....
 
Mie natamani kujua jinsi ya kumpatia mwenza love bite lakini kila nikimng'ata sioni chochote au anatakiwa ang'atwe hadi dam itoke? Nijuzeni jamani

Mi ukining'ata tunagombana mambo gani ya kupeana karaha wakati wa kustarehe. Loo!
 
unaacha kusoma.... eti luv bite....wazazi ndo walichokutuma ukasomee...UZINZI tu...
 
Back
Top Bottom