Hivi love bite inawekwaje?

Hivi love bite inawekwaje?

Njoo hapa best byte kimara rangi 3, wachora tatuu wanawaweka wezi wa ESCROW
 
Humtafuni mwenzio Kama Big G,na inategemea huyo mwenzio rangi Yake ikoje ya mwili, mnunulie cheni ya kiuno au earrings atafurahi zaidi kuliko Love bite....

Cheni anayo tayari
 
Tunalalama na magonjwa watu mnafikiria kung`atana halafu ni great thinker
 
Ntakuja kivingine....sijaridhika na hukumu nakuja na kamzizi sukari mahaba nikikatafuna tu hukunamwaga sera lazima karanga zionjwe..

Ahhha na labda ujaribu hivyo ila sidhan asee kama utafanikiwa maana dah sitaj kusema
 
Back
Top Bottom