Hivi lile shamba lenye bendera za CCM njia ya Msata ni la nani? Nawakubali sana wale jamaa

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
ukipita barabara ya Bgmoyo msata, mbele kidogo ya kijiji cha makurunge/mkwajuni.

Waje jamaa ni mfano wa kuigwa tukiweka siasa pembeni.
nilianza kupita njia hiyo tangu haina lami miaka ya nyuma kulikuwa na kagorofa flani ka mabanzi kama sikosei na hakukuwa na shughuli zozote za maendeleo.

Ila miaka ya karibu hata wiki moja imepita nimepita pale wale jamaa ni mfano wa kuigwa. Shamba limestawi balaa. Vifaa kibao, nadhani katika njia hiyo ndio sehemu pekee panapovutia kwa maana ya kilimo.

Hilo eneo limezungukwa na bendera za CCM, na rangi za CCM kila kona. Nakumbuka vijana wa chadema nao walikuwa na shamba huko Bagamoyo natamani kuona nao wakionyesha mfano kama wa wale jamaa.

ni wakina nani wale?
 
ukipita barabara ya Bgmoyo msata, mbele kidogo ya kijiji cha makurunge/mkwajuni
Waje jamaa ni mfano wa kuigwa tukiweka siasa pembeni.
nilianza kupita njia hiyo tangu haina rami miaka ya nyuma kulikuwa na kagorofa flani ka mabanzi kama sikosei na hakukuwa na shughuli zozote za maendeleo.
Ila miaka ya karibu hata wiki moja imepita nimepita pale wale jamaa ni mfano wa kuigwa. Shamba limestawi balaa. vifaa kibao, nadhani katika njia hiyo ndio sehemu pekee panapovutia kwa maana ya kilimo.

Hilo eneo limezungukwa na bendera za CCM, na rangi za CCM kila kona. Nakumbuka vijana wa chadema nao walikuwa na shamba huko bagamoyo natamani kuona nao wakionyesha mfano kama wa wale jamaa.

ni wakina nani wale?
Wenye nalo ni Waarabu, ukiangalia zana walizo nazo haviendani hata kwa nusu na kile kinachopatikana. Ni kama wanafichia hapo malengo yao makubwa waliyonayo.
 
ukitaja hayo majamaa toka asia nawaza sana juu ya usalama wa wanyama pori wetu !!
 
Wenye nalo ni Waarabu, ukiangalia zana walizo nazo haviendani hata kwa nusu na kile kinachopatikana. Ni kama wanafichia hapo malengo yao makubwa waliyonayo.
aisee!! mkuu mimi nilidhani ni shamba la kichama flani.
 
Ni vijana wa chama cha mapinduzi mradi wao ule wapo vizuri sana
Utakuwa una wazimu wewe sio bure. Hawa wana akili ya kulima hawa?

tapatalk_1522750488565-jpeg.735093

Kitu pekee wanaweza ni kulinda magari yetu overnight kwa buku
 
ukipita barabara ya Bgmoyo msata, mbele kidogo ya kijiji cha makurunge/mkwajuni
Waje jamaa ni mfano wa kuigwa tukiweka siasa pembeni.
nilianza kupita njia hiyo tangu haina rami miaka ya nyuma kulikuwa na kagorofa flani ka mabanzi kama sikosei na hakukuwa na shughuli zozote za maendeleo.
Ila miaka ya karibu hata wiki moja imepita nimepita pale wale jamaa ni mfano wa kuigwa. Shamba limestawi balaa. vifaa kibao, nadhani katika njia hiyo ndio sehemu pekee panapovutia kwa maana ya kilimo.

Hilo eneo limezungukwa na bendera za CCM, na rangi za CCM kila kona. Nakumbuka vijana wa chadema nao walikuwa na shamba huko bagamoyo natamani kuona nao wakionyesha mfano kama wa wale jamaa.

ni wakina nani wale?
Mzee Aziz
Mwarabu mkazi wa Bagamoyo
 
Hizo bendera zitakua aina fulani ya ngao dhidi ya serikali. Watu wamejua udhaifu wa raisi kwahiyo "they are pulling the right strings"
 
ukipita barabara ya Bgmoyo msata, mbele kidogo ya kijiji cha makurunge/mkwajuni
Waje jamaa ni mfano wa kuigwa tukiweka siasa pembeni.
nilianza kupita njia hiyo tangu haina rami miaka ya nyuma kulikuwa na kagorofa flani ka mabanzi kama sikosei na hakukuwa na shughuli zozote za maendeleo.
Ila miaka ya karibu hata wiki moja imepita nimepita pale wale jamaa ni mfano wa kuigwa. Shamba limestawi balaa. vifaa kibao, nadhani katika njia hiyo ndio sehemu pekee panapovutia kwa maana ya kilimo.

Hilo eneo limezungukwa na bendera za CCM, na rangi za CCM kila kona. Nakumbuka vijana wa chadema nao walikuwa na shamba huko bagamoyo natamani kuona nao wakionyesha mfano kama wa wale jamaa.

ni wakina nani wale?
Mkuu wewe utakuwa unamjua ila unataka kutuchora tu humu.
By the way huko ndo wengi wàtumishi wananunua viwànja vya bei nafuu kulingana na mishahara yao.
Na soon Makurunge itaendelea sanaaaaaaaaaaaaaa.
Nina project huko.
 
hapana mkuu,
nimeanza kupita hapo enzi hizo hakuna rami daldala unatumia masaa karibu manne kutoka BO kwenda kwngw.
hata mimi huwa naenda huko kupambana na hali yangu, lkn hapo mahala tangu napita mara ya kwanza huwa papo kisisiemusisiem nikadhani ni project ya chama au vijana wa chama.
kama ni huyo mzee basi Big up sana kwake maana juzi kati nimechungulia kwenye vioo kuna mazao yamekubali sana. kama sio hoho zile ni yeboyebo.
Makurunge pa ukweli japo badobado labda waweke lami na ile road ya kwenda sadan kupitia matipwila na makaani.
 
Back
Top Bottom