Hivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??

Kuzaliwa katika mazingira hatarishi, kuishi katika mazingira hatarishi na mwisho kufa kibudu

Chunga sana usilete wapendwa wako duniani waje kuzunguka duara la michosho ulilolizunguka wewe.... Wazazi wangu nilishawapa onyo kwamba ipo siku nitawafungulia mashtaka kwa kinizaa bila ridhaa yangu
 
Hivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??
KUSUDI LA BINADAMU KUWEPO HAPA ULIMWENGUNI NI KUTUMIA NAFASI YAKE KUUTEGEMEZA ULIMWENGU UENDELEE KUISHI. MIMEA HUPUNGUZA CARBON DIOXIDE KATIKA ATMOSPHERE KWA KUIVUTA NDANI NA KUONGEZA OXYGEN KWENYE ATMOSPHERE KUPITIA PHOTOSYNTHESIS. UDONGO KAZI YAKE NI KUTOA MAKAZI, ULINZI NA CHAKULA KWA VIUMBE VILIVYOPO ULIMWENGUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…