Hivi kweli uchawi upo?

Hivi kweli uchawi upo?

UCHAWI KWELI UPO DUNIANI na kama upo nini chimbuko lake Na neno "UCHAWI" nini maana yake

Elimisha siyo kukosoa tu
 
Vitabu vya Mungu vinasema uchawi upo, huviamini? Siku ukining'inizwa kichwa chini miguu juu utaamini.
 
Ukirogwa ndio utajua uchawi upo au hamna
Sasa hivi ngoja hakuna cha kukuroga hujafika mahala unapowavutia wakuroge
 
Braza hizo mambo zisikie tu hivyo hivyo kwa watu atleast zitakuwa hazina uzito.

Katika hangaika hangaika ya kusaka life,nilienda kijiji flan katika mkoa flani ( sorry sitotaja jina). Lengo ilikuwa ni kufanya kilimo cha bustani (kipindi cha kiangazi). Kile kijiji mgeni ukifika kuanza biashara au kilimo sharti uonane na wazee wa kijiji. Nikaonana na wa kwanza,baadae nikaambiwa kuna na mwingine,after huyo pia nimaambiwa kuna mwingine yupo mlimani (alaf wazee wote hao inabidi uwafate wewe,maana hawakufati).

Badae nikaona napoteza muda tu heri nifanye mambo yangu,so nikampotezea hugo mzee aliyepo milimani maana nilishachoka kuzunguka kwa wazee kila siku.

Ila nilivyopanda matikiti alafu yakaota maboga ndio nikachoka. Ila sipendagi kujishusha sana,so nikasepa na kuwaachia kijiji chao.

Sent using Jamii Forums mobile app
daah
 
Toka mdogo nasikiaga uchawi ,ushirikina ,,mbona sijawahi shuhudia zaidi ya kusimuliwa na msimuliaji ukimuuliza nae hajaona alisimuliwa tu,,hivi inakuwaje haoa kuaminishwa vitu ambavyo hujawah kuviona,,
Matatizo ya hapa duniani yapo tu na ni yale yale lakin utasikia unaambiwa umechezewa,nyota yako imeibiwa au umerogwa kabisa,,,
Niseme tu hivi mi nisjachoka mambo ya kusimuliwa tu vitendo sioni hata hayo madini yenu nayo hivyo hivyoo ni story ,na ushabiki hakuna cha kumuona hata mtume mmoja akatuthibitishia kuwa hiv ni kweli

Hivi kungekuwa na uchawi ambavyo binadam hatupendanii sidhan kama ningepata hata muda wa kuandika huu uzi,,ningekua nisharogwa au kuuawa kabisa,,,
Tuache imani za kishirikina hazitusaidii kabisa,
Mpaka nimekua hapa sijawah ona nasimuliwaga tu ukiuliza ulikuwepo utajibiwa hapana ila ni kweli
Na nyie mnaoenda kwa waganga hizo pesa zenu bora mnywee bia mle na nyama ,mnaibiwa tu hata hamna akili kabisa
Mnaoenda wote kwa waganga mkapimwe
.
IMG-20190819-WA0111.jpeg
IMG-20190819-WA0113.jpeg
 
Back
Top Bottom