Mbona hatuuoniHivi kweli uchawi upo?
[/b]Jibu:[/b] Ndio kweli uchawi
Sababu: Vitabu vyote vya dini vinaeleza hivyo.
Pia kama vitabu vya dini vimeeleza hivyo na wakati huo huo vinaeleza kuwa kuna MUNGU. Na kila mtu anaamini kuwa kuna MUNGU kupitia hivyo hivyo vitabu vya dini.
Basi naomba uelewe pia uchawi upo.
Sawa.Toka mdogo nasikiaga uchawi ,ushirikina ,,mbona sijawahi shuhudia zaidi ya kusimuliwa na msimuliaji ukimuuliza nae hajaona alisimuliwa tu,,hivi inakuwaje haoa kuaminishwa vitu ambavyo hujawah kuviona,,
Matatizo ya hapa duniani yapo tu na ni yale yale lakin utasikia unaambiwa umechezewa,nyota yako imeibiwa au umerogwa kabisa,,,
Niseme tu hivi mi nisjachoka mambo ya kusimuliwa tu vitendo sioni hata hayo madini yenu nayo hivyo hivyoo ni story ,na ushabiki hakuna cha kumuona hata mtume mmoja akatuthibitishia kuwa hiv ni kweli
Hivi kungekuwa na uchawi ambavyo binadam hatupendanii sidhan kama ningepata hata muda wa kuandika huu uzi,,ningekua nisharogwa au kuuawa kabisa,,,
Tuache imani za kishirikina hazitusaidii kabisa,
Mpaka nimekua hapa sijawah ona nasimuliwaga tu ukiuliza ulikuwepo utajibiwa hapana ila ni kweli
Na nyie mnaoenda kwa waganga hizo pesa zenu bora mnywee bia mle na nyama ,mnaibiwa tu hata hamna akili kabisa
Mnaoenda wote kwa waganga mkapimwe mikojo na vinyesi vyenu
Mbona hatuuoni
Vyote hivyo story tuSawa.
Unaamini Mungu yupo? Na km yupo ushawahi kumuona? Km bado ni kwann uamini yupo na bado unahudhuria kwenye nyumba za ibada?
Km ilivyongumu kuthibitisha uwepo Mungu ndiyo ilivyongumu kuthibitisha uchawi au majini. Najua unaongea upo mzima lkn haya mambo yaache km yalivyo. Kwenye vitabu vya dini vimeandika uwepo Mungu na nguvu za giza.
Ushamuona shetani? Na kwann unapopatwa na jambo una anza kumuomba Mungu akuepushe na shetani ilihali Mungu na shetani haujawahi kuwaona?
Ushawahi kumuuliza kiongozi wa dini km ameshawahi kumuona Mungu au shetani?
Ushajiuliza kwann watu wanahusishwa na imani za kichawi?
Tafuta movie ya Merlin na The seventh son. Na kisha ujiulize km hakuna hawa viumbe kwann picha nyingi zinaakisi haya matukio ikiwa jamii haimini uwepo wa uchawi?
Juzi nimemka asubui uku kwetu kwa mtogole mwili unauma balaa mgongo shingo na mabega havifai,.. Ni izo mavitu nn,.??.. Manake tokea juzi niletwe na mrange(wa shemeji yenu) maskani naona hali inajirudia,...
Bwahahahahaha bwahahahahahaHapo hujalogwa, ukipiga nyeto hayo maumivu yataisha..