Hivi kweli uchawi upo katika elimu/masomo?

Excel......................mhh sijajua why umeniita hivyo..............njoo basi uniambie!!!
hii khabarre ya kuhamishana akili nimeisikia lkini sijawahi kuona wala kushuhudia!!!!
miss you paloma!!

unajua they say, lisemalo lipo!

surely i am telling you, hili suala lipo kabisa na lina nguvu vibaya sana!
 
Haiwezekani,ni imani potofu tu ingekuwa hivyo basi watoto wa waganga wote wangekuwa ma t.o
 
Haaa! haaa! Hiyo nimeikubali. Ukitaka kufanya mambo yako fanya kisawasawa!
 
miss you paloma!!

unajua they say, lisemalo lipo!

surely i am telling you, hili suala lipo kabisa na lina nguvu vibaya sana!

enheee........................
au itaendelea baadae?
 
Hiyo sio pembe la ndovu? Huyo dogo ana hatari sana
 
mkuu sasa kwanini watu hawataki kuamini uchawi kuwa uchawi upo katika elimu???

ngoja niombe maoni zaidi... Arushaone, Lady doctor, MziziMkavu, mwekundu, Mtambuzi, Mr Rocky, Palomaaaaa!! (lols, you know why i called you so!) Mlachake, sosoliso, uran, kiwatengu, shansarie, amu, Preta, ram, lusungo, Dinazarde, JERRY msigwa, bily, farkhina, Mshinga, mpigamsuli, Dr. mo, Mr Rocky..

hoja inayojadiliwa hapa ni kwamba...

je, uchawi upo katika elimu/masomo?

mwanafunzi anaweza kufaulu kweli kwa kutegemea uchawi?? inawezekana vipi akili ya mwanafunzi ihamishwe kimazingara na kuwekwa kwa mwanafunzi mwingine?? je mnaamini haya kama yapo ama hayapo??

je, katika mazingira yenu mnayoishi, ama kwa jirani, ndugu na jamaa, vitendo kama hivi vilishawahi tokea?

karibuni wakuu...

mimi binafsi sijawahi eksipirinsi mambo haya ila nayasikia tu. May be naweza kuwa nimelogwa lakini sijui. nina miaka 35 lakini sitaki kuoa
 
Yeah mimi nishaga wai kuona aya mambo yapo kweli
 
mimi binafsi sijawahi eksipirinsi mambo haya ila nayasikia tu. May be naweza kuwa nimelogwa lakini sijui. nina miaka 35 lakini sitaki kuoa
Haaaaaaaaaaaaa wewe umerogwa wewe sio bure jichunguza kwanza uko chini kama jogoo ana ruka mtungi
 
Hakuna uchawi mahali po2te uchawi ni neno la kuogofya au lakutisha lakini lakini halina ukweli wowote,
 
Mkuu ngoja hawa jamaa watusaidie
FB_IMG_1545555079149.jpg
 
Back
Top Bottom