Hivi kweli uchawi upo katika elimu/masomo?

kama huna akili hunaa tu ipo siku itakubana mahali pake
 
mkuu sasa kwanini watu hawataki kuamini uchawi kuwa uchawi upo katika elimu???

ngoja niombe maoni zaidi... Arushaone, Lady doctor, MziziMkavu, mwekundu, Mtambuzi, Mr Rocky, Palomaaaaa!! (lols, you know why i called you so!) Mlachake, sosoliso, uran, kiwatengu, shansarie, amu, Preta, ram, lusungo, Dinazarde, JERRY msigwa, bily, farkhina, Mshinga, mpigamsuli, Dr. mo, Mr Rocky..

hoja inayojadiliwa hapa ni kwamba...

je, uchawi upo katika elimu/masomo?

mwanafunzi anaweza kufaulu kweli kwa kutegemea uchawi?? inawezekana vipi akili ya mwanafunzi ihamishwe kimazingara na kuwekwa kwa mwanafunzi mwingine?? je mnaamini haya kama yapo ama hayapo??

je, katika mazingira yenu mnayoishi, ama kwa jirani, ndugu na jamaa, vitendo kama hivi vilishawahi tokea?

karibuni wakuu...

Uchawi upo na wapo waliotoka kimasomo kwa kusafiria nyota za wenzao kichawi..
CC: LIKUD
 
Last edited by a moderator:
Kwani uchawi upo kijijini tuu?

nimejibu nilichoulizwa....soma vizuri kabla hujamquote mtu....muulize Excel kama uchawi upo kijijini tu coz yeye ndo alouliza!!hata ukiwepo mbuyuni mi siamini 🙂
 
Last edited by a moderator:
mkuu mwaka data tuzidi kujifunza zaidi..

mimi nilishawahi onana uso kwa uso na VIBWENGO! (kwa wakazi wa tanga nadhani wamenielewa hapa!!)

huyu sijui ni shetani ama ni agent wa shetani? mi sielewi aisee!!

kwa kifupi tu shetani.. siwezi sema zaidi kwa sababu hata katika maombi huwa tunasema ''shetani toka, wala hatusemi agent wa shetani toka''! lols!

Toa experience Hapa acha fiction
wajua Excel na frankclemence, matatizo yameumbiwa watu, na hatuna jinsi kuyakabili, iliwahi kunitokea muda kidogo binti mmoja alitaka nimuoe wakti yeye alikuwa mpango kando, sasa baada ya kukataa na kumpiga chini ndio tatizo likaanza hapo, basi dushelele likagoma tibia sana wapi nusu ndoa iteteleke jamaa yangu, sasa dingi yangu akaniambia njoo home, nikafika natukaenda sehemu ambapo huwa kule ndio uvumbuzi mpya unapotolewa ndio nikakuta mambo.
tatizo langu lilikuwa dogo sana, wakati naongea vijana wa yule mzee ambao waumri wetu wakawa wananicheka, dawa ilikuwa mizizi na kakukuu basi...
sasa issue ikaja simu ikapigwa na yule mjomba akapokea jamaa anataka atumiwe dawa kuna mtu anamsumbua mkewe anataka kumkomesha, mtaalamu akakataa sababu lilikuwa ni bomu ambalo akikosea anaondoka yeye mwenyewe... baada ya simu nikaanza kumdadisi mzee pale nini hicho akasema TEGO, Excel tego unalijua.....?
basi jamaa alifafanua......
 
Hii sasa ni real experience siyo mediocre,anyway hope you based on facts kama nlivyokucaution awali.Tunapaswa kutambua pamoja na kwamba uchawi upo kila goti litapigwa kumkiri Kristu,so all in all Sir God ndo mwisho wa matatizo
 
Last edited by a moderator:
wajua Excel na frankclemence, matatizo yameumbiwa watu, na hatuna jinsi kuyakabili, iliwahi kunitokea muda kidogo binti mmoja alitaka nimuoe wakti yeye alikuwa mpango kando, sasa baada ya kukataa na kumpiga chini ndio tatizo likaanza hapo, basi dushelele likagoma tibia sana wapi nusu ndoa iteteleke jamaa yangu, sasa dingi yangu akaniambia njoo home, nikafika natukaenda sehemu ambapo huwa kule ndio uvumbuzi mpya unapotolewa ndio nikakuta mambo.
tatizo langu lilikuwa dogo sana, wakati naongea vijana wa yule mzee ambao waumri wetu wakawa wananicheka, dawa ilikuwa mizizi na kakukuu basi...
sasa issue ikaja simu ikapigwa na yule mjomba akapokea jamaa anataka atumiwe dawa kuna mtu anamsumbua mkewe anataka kumkomesha, mtaalamu akakataa sababu lilikuwa ni bomu ambalo akikosea anaondoka yeye mwenyewe... baada ya simu nikaanza kumdadisi mzee pale nini hicho akasema TEGO, Excel tego unalijua.....?
basi jamaa alifafanua......

dah.. mkuu kwanza pole kwa majanga yaliyokukuta... ama kweli dunia ina mengi!

ndugu yangu hilo TEGO huwa nalisikia, kuwa ukishanasa tu hutoki...

zaidi na zaidi sijafahamu inakuwa vipi! naomba unipe ufafanuzi!
 
nimejibu nilichoulizwa....soma vizuri kabla hujamquote mtu....muulize Excel kama uchawi upo kijijini tu coz yeye ndo alouliza!!hata ukiwepo mbuyuni mi siamini 🙂

mkuu naomba tu nikuulize swali! kwanini huamini uchawi?

kwanini unasema uchawi haupo wakati vitabu vya dini vinaukubali kuwa upo?
 
kama huna akili hunaa tu ipo siku itakubana mahali pake

hiyo ni kweli.. kwamba kila baya lina mwisho wake..

lakini je, unaamini kuwa uchawi upo masomoni?
 
Excel, ninachojua uchawi upo lakini ninachojua pia wachawi hawatumii uchawi wao kwa mambo ya maendeleo, sijawahi ona mchawi au kusikia mchawi katumia uchawi wake kujiletea mambo ya maendeleo iwe kwake yeye mwenyewe au kwa jamii inayomzunguka zaidi ya kuisumbua na na kuifanyia mambo mabaya jamii yake
 
Last edited by a moderator:
mkuu sasa kwanini watu hawataki kuamini uchawi kuwa uchawi upo katika elimu???

hoja inayojadiliwa hapa ni kwamba...

je, uchawi upo katika elimu/masomo?

mwanafunzi anaweza kufaulu kweli kwa kutegemea uchawi?? inawezekana vipi akili ya mwanafunzi ihamishwe kimazingara na kuwekwa kwa mwanafunzi mwingine?? je mnaamini haya kama yapo ama hayapo??

je, katika mazingira yenu mnayoishi, ama kwa jirani, ndugu na jamaa, vitendo kama hivi vilishawahi tokea?

karibuni wakuu...

Ingekuwa hivyo maprofesa wote wangetokea Sumbawanga lol..
 
mkuu mwaka data tuzidi kujifunza zaidi..

mimi nilishawahi onana uso kwa uso na VIBWENGO! (kwa wakazi wa tanga nadhani wamenielewa hapa!!)

huyu sijui ni shetani ama ni agent wa shetani? mi sielewi aisee!!

kwa kifupi tu shetani.. siwezi sema zaidi kwa sababu hata katika maombi huwa tunasema ''shetani toka, wala hatusemi agent wa shetani toka''! lols!

Toa experience Hapa acha fiction

dah.. mkuu kwanza pole kwa majanga yaliyokukuta... ama kweli dunia ina mengi!

ndugu yangu hilo TEGO huwa nalisikia, kuwa ukishanasa tu hutoki...

zaidi na zaidi sijafahamu inakuwa vipi! naomba unipe ufafanuzi!
ushawahi kusikia watu wamegandana, au umesikia jamaa akikutana na mwanamke mwingine dushelele, basi huo ni mfanowe,na mengine mengi, kuna bomu linawekwa katika ganda la risasi, ni balaa! sasa waonaje siku moja twende tukapate elimu huko Excel...?
 
Last edited by a moderator:
mkuu asante kwa mchango wako! i am impressed for sure..

tukirudi katika suala hili hili la elimu, unataka kuniambia kwamba through that confidence, wanafunzi wanaopewa uchawi wanakuwa better zaidi ya wale ambao hawatumii?

Hapana through confidence (yule mwanafunzi ambaye huenda bila kuamini kuna super power inayomsaidia) angeweza aka-panic na asifanye kile anachokijua.., ila IMANI inamfanya afanye kile anachokijua vizuri (sio kumuongezea asichokijua)..., Kwahio Confidence inamfanya yule mwanafunzi afanye vizuri kwa kumuongezea kujiamini kuliko yule asiyejiamini (ana-panic). Ila kama hujui, hujui tu..., ni bora anayejua asiye na confidence kuliko asiyejua mwenye confidence LAKINI kama wote wanajua mwenye confidence ataibuka mshindi...

REMEMBER...
With Confidence, you have won before you have started - Marcus Garvey
 
mkuu naomba tu nikuulize swali! kwanini huamini uchawi?

kwanini unasema uchawi haupo wakati vitabu vya dini vinaukubali kuwa upo?

kwasababu nimefundishwa kidini kutokuamini ushirikina...kitabu gani cha dini kinaaukubali ushirikina?
 
mkuu refer picha niliyotumia kuongeza mvuto wa habari yangu!

namaanisha uchawi wa kurogana kutoka kwa waganga wa kienyeji!

Ndio urogi ndugu yangu kwani inawezekana mambo yanaconcide na hivyo kweli yakatokea aliyopanga mchawi.
 
ushawahi kusikia watu wamegandana, au umesikia jamaa akikutana na mwanamke mwingine dushelele, basi huo ni mfanowe,na mengine mengi, kuna bomu linawekwa katika ganda la risasi, ni balaa! sasa waonaje siku moja twende tukapate elimu huko Excel...?

mkuu ingekuwa bora kabisa kama tungeenda! lakini hmm!, baba mambo yakigoma itakuwaje?

uchawi ukiturudia sie na mganga afe ghafla?

hayo si majanga...? lols!
 
utafiti ulishafanyika mkuu.. kuna watu tayari wanazo hizo profession ndio maana nikauliza mawazo yenu hapa..

hebu ona hizi category hapa...

angalia kwenye kipengele cha wateja wengine wa uchawi.. mwanafunzi yuko namba nne...

cc.. utafiti
Nimeziona mkuu asante
 
Back
Top Bottom