upo jaman tena sana yan meshuhudia.
wadau tuwekane sawa hapa..
tafadhalini tuambiane ukweli ili kuelimishana juu ya uchawi katika elimu..
je, ni kweli uchawi upo katika elimu?
je, mganga anaweza kweli kufanya mambo yake ukaweza kufaulu mitihani mizito kama ya NECTA?
naombeni mawazo yenu!!!!
dada hujawahi sikia mtu anashindwa kuona maandishi kwenye karatasi anapoingia kwenye mtihani?hamna kitu kama hiko!!!
mkuu inakuwaje sasa mtu anatulia tu kando ya mwanafunzi mwenzie, kila kinachofanyika kina-divert kwenda kwake??Japo husemwa imani yako itakuponya but ktk elimu hata uamini vip uchawi haupo may be uutumie uchawi huo kumpumbaza msahihishaji napo mmmhhh cna uhakika.