Hivi kweli uchawi upo katika elimu/masomo?

Hivi kweli uchawi upo katika elimu/masomo?

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,862
wadau tuwekane sawa hapa..

tafadhalini tuambiane ukweli ili kuelimishana juu ya uchawi katika elimu..

1618538_1402023123384194_922376442_n.jpg

je, ni kweli uchawi upo katika elimu?

je, mganga anaweza kweli kufanya mambo yake ukaweza kufaulu mitihani mizito kama ya NECTA?

naombeni mawazo yenu!!!!
 
Hakuna uchawi mahala popote
 
Its all about confidence..., kama wewe hujiamini (hauna confidence) alafu ukapewa kitu ukaamini kwamba kinafanya kazi, hata kama hakifanyi kazi itakusaidia kuongeza confidence hence kufanya kile ambavyo otherwise usingeweza kufanya.

Ni kama vita vya maji maji, wale wanajeshi wasingeamini kwamba risasi zitabadilika kuwa maji huenda wasingepigana wangeingia mitini
 
Japo husemwa imani yako itakuponya but ktk elimu hata uamini vip uchawi haupo may be uutumie uchawi huo kumpumbaza msahihishaji napo mmmhhh cna uhakika.
 
wadau tuwekane sawa hapa..

tafadhalini tuambiane ukweli ili kuelimishana juu ya uchawi katika elimu..

1618538_1402023123384194_922376442_n.jpg

je, ni kweli uchawi upo katika elimu?

je, mganga anaweza kweli kufanya mambo yake ukaweza kufaulu mitihani mizito kama ya NECTA?

naombeni mawazo yenu!!!!

Inategemea uchawi gani, jini,vitabu,mizizi au visenti. Huu wa mwisho naam unashinda tu!
 
Inategemea uchawi gani, jini,vitabu,mizizi au visenti. Huu wa mwisho naam unashinda tu!
mkuu refer picha niliyotumia kuongeza mvuto wa habari yangu!

namaanisha uchawi wa kurogana kutoka kwa waganga wa kienyeji!
 
hamna kitu kama hiko!!!
dada hujawahi sikia mtu anashindwa kuona maandishi kwenye karatasi anapoingia kwenye mtihani?

macho na kichwa kuanza kuuma immediately baada ya kushika daftari kwa lengo la kujisomea, hiyo nayo bado??

na bado akienda kwa professional doctors wanashindwa kugundua tatizo?
 
Japo husemwa imani yako itakuponya but ktk elimu hata uamini vip uchawi haupo may be uutumie uchawi huo kumpumbaza msahihishaji napo mmmhhh cna uhakika.
mkuu inakuwaje sasa mtu anatulia tu kando ya mwanafunzi mwenzie, kila kinachofanyika kina-divert kwenda kwake??

nimeshajiuliza sana.. hii dhana inakuwaje?? maandishi yanatoka vipi kwa mwanafunzi mmoja kwenda mwingine??
 
Back
Top Bottom