Hivi kweli tumefika huku??

Sidhani kama kuna mwanamke mwenye kujiongelea yote hayo bado huenda huyo alowaambia zitakuwa kidogo chenga kichwani
Inawezekana Kk,kuna siku nilikutana na dada fulani,sasa kupiga stori mbili tatu,akaanza kufunguka mambo yake na mahusiano mpk tutamshangaa mengine hata aibu kusimulia,unaweza hisi ni kichaa kumbe moyo unatafuta relief
 
Wait nitasema mdogo mdogo nianze na translation.

Umeniweza leo.
 
Inawezekana Kk,kuna siku nilikutana na dada fulani,sasa kupiga stori mbili tatu,akaanza kufunguka mambo yake na mahusiano mpk tutamshangaa mengine hata aibu kusimulia,unaweza hisi ni kichaa kumbe moyo unatafuta relief
Mwanamke kusimulia ndio salama yake mkuu ko wachukulieni hivyo hivyo sasa walivyo wajinga wanadhani kuna ndoa ambayo haina changamoto
Mimi kuliko kubishana na mwanamke huwa niko straight namwambiaga ukipata unapoona panakufaa hamia tusisumbuane hadi saizi hajahama na hulka zangu ni zile zile
 
Na hapo ndipo logic ya kuoa mwanamke zaidi ya mmja inakuja maana hadi ukinai huyu hamu inakuja kwa mwingine na sharti mwanamke awe mzuri tofauti na hapo mtakinai na yeye hutomtimizia inavyotakiwa
 
Mwanamke akimpenda Mwanaume vizuri sana hata asipokuwa perfect kimapenzi lakini bado ana uwezo mkubwa sana kumuhamasisha kuwa vizuri kimahaba.

Mke wangu ni mfano sahihi katika hili namshukuru sana Mungu kunipatia Mke sahihi.
 
Wanawake sio viumbe vinavyostahili kuwezeshwa,... Wakiwa na uwezo tu utajuta,.. Ni viumbe hatari kuliko simba. Mi napinga kbs kumwezesha mwanamke,.. Wana roho mbaya sana hawa viumbe
Nahunga mikono na miguu hoja...kuna Mzee mmoja hivi juzi tulikuwa naye kwenye daladala alisema "Mwanamke asingekuwa anazaa kwa uchungu, basi ni kiumbe hatari sana kuliko hata nyoka"
 
Vibaya sana.... Kwanza nikisikia tu mwanamke kampa pesa mwanaume nachukia jumlisha huyo kachukua za mumewe kampa mchepuko wooooiiiiiii
Uko sahihi sababu asili ya Mwanamke ni kupokea kama alivyoumbwa kimaumbile sehemu nyeti...[emoji23]
 
Loh, kwa akili yangu ilivyo simpi hela mwanaume wa hewani tu.
Hela yangu anaweza kuipata kwa urahisi ni mme wangu tu kwsbb tunaishi wote na anayofanya kwa pesa iwe yangu au yale wote tunayaona.
 
Basi kwa kiasi fulani atakuwa ameshaathirika kwa kiasi fulani kichwani
Kisaikolojia mtu akishakuwa disturbed inawezekana kabisa... Na inakuwa ni namna ya kumueousha kuwa kichaa kabisa au kujinyonga,inamsaidia kiasi fulani kupata "relief" japo wengine tunakuwa tunamuona wa ajabu sana..
 
Tunamshukuru kwa hilo sababu ungefeli sana ndugu.
Punyeto si salama kabisa Mama, iliniathiri zaidi ya miaka 8.

Sidhani yupo Mtu aliyewahi kuathirika kama mimi.

Goli 6, kwa siku, bado Binti akijitokeza atachezea, akighairi nitaenda kununua wanapojiuza.

Nilipompata Mke wangu nilikuwa Nikienda goli 1 tu basi nishamaliza kazi maana nilikuwa nikianza kumthaminisha na Mwanamke wa pornography, video za X nikimshusha hadhi na kutoendelea tena na mechi.

Mke wangu alikuwa akinituliza na kuniaminisha kuwa niache mawazo na nina uwezo mkubwa sana kurudia hata mara nyingi zaidi.

Haikupita hata mwezi nikawa namshughulikia vizuri akienda goli 5 hadi 6 ilihali mi mwenyewe nikiwa na goli 4.

Mungu yupo sana na anatenda miujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…